Wajawazito na vimini!

Wajawazito na vimini!

Hao ni baadhi ya wale watu ambao hawataki kukubaliana na hali waliyonayo katika muda mahususi. Kuna miezi ambayo mama mjamzito hatakiwi kuvaa nguo zakubana sana tumbo(hasa kuanzia mieziminne nakuendelea) hii itasaidia kumfanya mtoto ajitengeneze vizuri tumboni mwa mama yake.

Hawa ni sawa na wale watu wasiokubaliana na hali halisi kutokana na umri wake, kuna watu fashion za vijana zinapotoka anatamani kama zingetoka kipindi yeye yupo kijana mwisho wa siku kila siku anapigilia vitu ambavyo haviendani na umri wake
 
kwa utafiti wangu wajawazito wengi sasa wana patwa matatizo ya kujifungua tokana na sehemu ya chini ya uzazi kubanwa na hivyo vijinguo vyao vinasababisha hata ile miezi ya kujifungua kupita , na wengi wao hawajui kuwa vinguo hivyo hasa skintight, vijeanz mbano vina madhara makubwa kwa watoto tumboni laiti wangekuwa wanajua wasingeweza kuvaa
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!

Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????

Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???

Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!

Wabheja sana!
 
Wapo, wanapenda sana kwenye halaiki ili waonekane. Kwani hata hapo steers si kuuza sura tu, wanaagiza milk-shake na donut wanakaa mchana kutwa wakisoma Ebony ya mwaka juzi. Sijawahi tu kuwaletea ushambenga kwa kuwa ukijichanganya tu wanajifanya hawajui Kiswahili, na mimi na Kiingereza mbali mbali
hahahahaha umenikumbusha wakati flani nilipitaga pale morroco kwenye petrol station huwa wanauza baga pale. Bwana wadada wanaokuja pale sijui wote hawajui kiswahili basi uzungu uko pale ndugu yangu. Bahatii nzuri nilikua na mkarimani alikua ananisaidia kuelewa manake nikahisi pale kuna wadhungu tu lol. Yaani wadada wanajua kuzuga jamani mbona umenikumbusha mbali. Sasa akatokea jammaa mmoja akaongea kiinglishi na wamoja wao mbona alibadilisha akaanza kuongea kiswahili na jamaa aliendelea na kiinglish nikashangaa.
Tuletee huo ushambenga bwana tuongeze siku kwa kucheka wenzio
 
mbavu zangu mie, yaani nimecheka mpaka basi. Ehhe, sasa yule shem mzungu hukumwambia akutumie nyingine? Mimi nililetewa na dada yangu, aliyekuwa anasoma Kantalamba, akabana mwenyewe pesa za matumizi akaninunulia mtumba wa OshKosh na kishati chekundu kizuri hicho, nilitesaje.
Jamani nimecheka huyo uliyemquote ana vituko jamani uuuuuiiiiii mbavu zangu mayo nene
 
Mimi binafsi si kwa wajawazito tu bali nikiona mwanamke amevaa kimini huwa namchukulia kama ni malaya.Siku moja nilienda kwenye hoteli moja kupata lunch baada ya kukuta wahudumu wake wamevaa vimini basi niliondoka muda huo huo.Mimi ni mkiristo lakini haya mambo ya vimini tumeyaendekeza sana sisi wakristo na cha kushangaza sasa hivi hata baadhi ya makanisa watu wenye vimini na wanaoacha manyonyo yao wazi wanaingia bila kukemewa, angalau jamaa zetu waislamu kidogo wanajitahidi.
kiongozi
endelea kubaki Tanzania,usisafiri nje ya Tanzania,maana unaweza kufa kwa presha.kwa wenzetu ni kawaida sana nasi kipindi cha awali ilikuwa ngumu,lakini baada ya kuishi nao kwa muda mrefu na hali ya hewa yao huwezi kwepa,maana unakutana na barafu ni lazima uvae makoti,baada ya hapo unakutana na joto-fukuto huwezi ona wala upepo ukipita,hapo ni wazi utatembea na bukta fupi bila kuvaa chupi ndani,ni kawaida kabisa na wala huwezi kumshangaa mwenzako.
ila kwa tanzania na afrika ndio hivyo wanaume tumeendekeza sana mambo ya ngono ndio maana kila wakati ukiona mtu kavaa nguo fupi tu unajihisi kufanya jambo.
mbona mnavyosafiri nje ya Tanzania hampigi kelele na mnavumilia?
 
wanajua hutaconcentrate kwenye mapaja.
ndo mana wanayaacha.
Tumbo catches the eye and holds it.
 
kanye-west-kim-kardashian-2013-met-gala.jpg


pregnant-.jpg


pregnant-1.jpg


pregnant-britney-spears.jpg


pregnant-m.i.a.jpg
 
Siku hizi kuna maternity clothing zaidi ya Yale magauni mama na bibi zetu walizokuwa wanavaa. Nilikuwa na maternity clothing kuanzia chupi, vimini, bukta, magauni, mpaka jeans. It's 2013 baby.



Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!

Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????

Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???

Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!

Wabheja sana!
 
Siku hizi kuna maternity clothing zaidi ya Yale magauni mama na bibi zetu walizokuwa wanavaa. Nilikuwa na maternity clothing kuanzia chupi, vimini, bukta, magauni, mpaka jeans. It's 2013 baby.

Mh... kidigitali kigumu!!
 
Mmmhh dawa yao ni kuwaambia ukweli ili waache tu huo mtindo sio mzuri wala sio afya
 
Ha ha ha ha ha, very funny

Ila wee bonge la mediator

Naomba niwaamue huu ugomvi wenu kabla haujapata washabiki.

Wewe Mwali baki na vagina yako ya 12[SUP]0[/SUP]c na wewe kwamtoro baki na vagina yako ya 86.9[SUP]0[/SUP]c

Mimba zenu kwa kifupi zimetofautiana. We Mwali umepata mimba ya Winter na kwamtoro yeye yamemkuta wakati wa Summer Jam.

Nafikiri ugomvi umekwisha?!
 
Last edited by a moderator:
Mmmhh dawa yao ni kuwaambia ukweli ili waache tu huo mtindo sio mzuri wala sio afya
 
Wengi wao ni malaya wanaonyesha jinsi walivyo.
 
Ha ha ha ha ha, very funny

Ila wee bonge la mediator

Isingekuwa busara zangu haya mambo ungekuta yamefika kubaya. Mwali muone vile vile na shungi ukadhani mpole, ni mtata hasa kiasi nikaona any time watachapana makofi watuvunjie vioo vya jukwaa. Manake tulijikuta nje ya mada, badala ya kujadili mavazi ngoma ikahamia maungoni
 
Last edited by a moderator:
hahahah, lakini my dear; imagine huyo mvaa kimini hicho katangulizana na mumewe na pengine huyo mumewe ndio kanunua; who am l to say what they should or should not do?
........
.
Kaunga hebu tuwe wawazi, hivi ni mwanaume yupi anayeweza kumpangia mkewe ngo ya kuvaa? Huyo mwanaume hajipendi? Kwa wanawake kupanga nguo ya mme kuvaa ni kawaida na haki na mwanaume akikataa, ni ugomvi wa mwisho wa reli -kigoma.
 
kwa utafiti wangu wajawazito wengi sasa wana patwa matatizo ya kujifungua tokana na sehemu ya chini ya uzazi kubanwa na hivyo vijinguo vyao vinasababisha hata ile miezi ya kujifungua kupita , na wengi wao hawajui kuwa vinguo hivyo hasa skintight, vijeanz mbano vina madhara makubwa kwa watoto tumboni laiti wangekuwa wanajua wasingeweza kuvaa

Asante sis...
 
Acha hivyo vimini na nguo za kubana, nishakutana na mmoja shoprite, kimembana, kifupi halafu tumbo na kitovu vyote nje. Uzalendo ukanishinda, ikabidi nimuulize, kulikoni kututembelea uchi mtoto wa kike na hali yako hiyo? Nilichoka nilipoona kavaa pete. Nilijiuliza maswali katokaje kwake sikupata jibu.
Alinitolea mimacho ka chura utadhani haelewi, nikamsisitizia kua naongea nae, kwanini uchi bidada? Ghafla kama katoka usingizini, eti ananiuliza inakuhusu nini wewe mavazi yangu? Nikamwambia inanihusu sana maana unatudhalilisha wanawake wenzio.
Tatizo wanzania tuna ulimbukeni sana wa kukurupuka na kuiga kila tunachoona, sababu ya ulimbukeni wetu, tunazidisha. Hii ni kwenye mambo mengi, wala si mavazi tu.
Sio kila liingialo mjini lazima na wewe uige. Tujiheshimu jamani kina mama na kina dada. Heshimu mwili wako, sio kwa vile hausemi, basi kutwa kuuacha wazi. thamani ya uanamke wako unashuka. Mfanye mwanamme atamani kukuvua nguo. Sasa kutwa uko uchi atataka nini kwako.
Hata ukivua nguo hapapatiki, maana kutwa mipaja iko wazi, hadi imekua myeusi, haitamanishi tena!


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom