Wajawazito na vimini!

Wajawazito na vimini!

Nahisi hao wamama wanao vaa hivyo watakuwa hawaudhulii kiliniki, na hawajua madhara wayapatao wao na watoto wanapovaa hivyo vivazi.

Kwanza kabisa mama mjamzito akivaa nguo za kumbana au kimini HAPENDEZI!!!

Pili, kuvaa nguo za kubana na highheels huzuia mzunguko mzuri wa damu na huweza kusababisha kuvimba kwa mishipa ya damu

Tatu, nguo za kubana hasa skin jeans huleta joto sehemu za siri napia inaweza kuchochea maambukizi ya fangasi ukeni.

Nne, mtoto kukosa uhuru wa kujinafasi akiwa tumboni, hata mama mjamzito pia anakuwa bored kiasi flani sema basi tu wanajikaza kisabuni
 
Binafsi huwa nawachukia sana wanaovaa nguo za kubana wakati wa ujauzito, kwa kweli huu ni ushamba na ulimbukeni.

ndio maana watt wa cku hz wanazaliwa wana uzto wa kg 1 kwa sababu ya kubanwa hvyo vjnguo vyao.
 
mhhh charminglady! mambo ni aje?
nikwambie kitu, tumbo likishakuwa limeenda mbele zaidi, nguo utakayovaa kama ilikuwa ipo gotini basi itazidi kuwa fupi!!!
suruali, skin jeans zipo spesheli kwa ajili ya martenity!!!! mavazi mengine jamani hayapendezi licha ya kwamba yanamuweka mama katika hali salama. mfano mie nilipokuwa natumbo madera yalikuwa hayanipendezi kabisaaaaa........yani kabisaaaaa!!! so nikawa na vijinguo vyangu ambavyo ni comfortable lakini angalau napendeza!!!

halafu when you are pregnant hata uvae nguo gani hupendezi!
hapo mjamzito inabidi ahangaikie kichwa yani mitindo bora ya nywele. hali kadhalika, accessories kama hereni, mikufu ya hsingoni na mikononi, urembo wa kucha na viatu viwe bomba, na mikoba!!! angalau hii itawafanya watizamani waconcetrate kuangalia hivyo vingine na wala si nguo imekukaaje na mtumbo wako!!!
sosoliso ebu nipe mimba jamani!!!
 
Last edited by a moderator:

Hahahhahhahahaaaaa!!!! hapo kwenye red, huyo mtoto huo uzito imekuwa nyama?
 
wanawabana sana ndo maana mazaz anajfungua salama lakn utashangaa nalazwa wk 2 kutoka na uzto wa mtt upo chn sana.
 
sometimez mdada kavaa kimini na kitumbo chake mapaja meupeeeeeeee....afu akikaa ana jitanua tanua...wanatutega bana
 
Kitaalamu zaidi. Mwanamke mjamzito anapofiskisha week ya 20 joto la huko nanilii upanda sana. Sasa anatakiwa asiwe anavaa chupi kabisa ama avae bukta tu kuruhusu nanilii kujinafasi na kupumua vizuri
Wanaume mashaidi ni kwa jinsi gani hali ya nanilii ilivyo murua katika mambo yetu yale.
Binafsi napenda mwanamke mjamzito ambaye anavaa kimini. Huwa asilimia kubwa wanapendeza. Na hasa awe na usafiri kama wa bukoba. Wa kikilimanjaro wao wanapendeza na mapajama.
 
vimini solo ni vizuri kwa afya ya mama mjamzito, kuhusu suruali au skinjeans, kuna za wajawazito ambazo zinakuwa na nafasi ya tumbo. Sidhani kama ukiwa mjaamzito basi uvae magunia au mifuko.
Mwisho wa siku ni maisha binafsi ya mtu au mtu na mumewe ambao wanapaswa kuchagua, wengine hatuna uhalali wa kuwapangia watu waishi vipi.

Kaunga, kwa sehemu nakubaliana na wewe ila hapo nilipobold, jamani hata kama mavazi yanaenda kinyume na tamaduni zetu tusiseme kisa tu ni mke na mume ndiyo waliokubaliana? Kwahiyo hata wakitembea nusu uchi tuone sawa tu kwa sababu wenza wao wamekubali?!
Mhhhhh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kitaalamu zaidi. Mwanamke mjamzito anapofiskisha week ya 20 joto la huko nanilii upanda sana. Sasa anatakiwa asiwe anavaa chupi kabisa ama avae bukta tu kuruhusu nanilii kujinafasi na kupumua vizuri
Wanaume mashaidi ni kwa jinsi gani hali ya nanilii ilivyo murua katika mambo yetu yale.
Binafsi napenda mwanamke mjamzito ambaye anavaa kimini. Huwa asilimia kubwa wanapendeza. Na hasa awe na usafiri kama wa bukoba. Wa kikilimanjaro wao wanapendeza na mapajama.
Unaweza tutajia source? au una mimba?
 
wengi wao ni mimba zisizotarajiwa,athari zake ndio watoto watukutu kama tunaokutana nao kwenye mitandao ya jamii
 
umenena..alafu.eti uwa inakuaje wakat wa ujauzito shingo inakua kama chafu hivi?..yaan hata ulioga na kujisugua vipi lakini bado tu,,hiyo inatokana na nn?
mhhh charminglady! mambo ni aje?
nikwambie kitu, tumbo likishakuwa limeenda mbele zaidi, nguo utakayovaa kama ilikuwa ipo gotini basi itazidi kuwa fupi!!!
suruali, skin jeans zipo spesheli kwa ajili ya martenity!!!! mavazi mengine jamani hayapendezi licha ya kwamba yanamuweka mama katika hali salama. mfano mie nilipokuwa natumbo madera yalikuwa hayanipendezi kabisaaaaa........yani kabisaaaaa!!! so nikawa na vijinguo vyangu ambavyo ni comfortable lakini angalau napendeza!!!

halafu when you are pregnant hata uvae nguo gani hupendezi!
hapo mjamzito inabidi ahangaikie kichwa yani mitindo bora ya nywele. hali kadhalika, accessories kama hereni, mikufu ya hsingoni na mikononi, urembo wa kucha na viatu viwe bomba, na mikoba!!! angalau hii itawafanya watizamani waconcetrate kuangalia hivyo vingine na wala si nguo imekukaaje na mtumbo wako!!!
sosoliso ebu nipe mimba jamani!!!
 
Unaweza tutajia source? au una mimba?
source maajabu ya mimba just google.
Au nina mimba? Hii inaonyesha jinsi gani kichwani ulivyo mweupe. Kifupi wewe ni usele..
 
Kaunga, kwa sehemu nakubaliana na wewe ila hapo nilipobold, jamani hata kama mavazi yanaenda kinyume na tamaduni zetu tusiseme kisa tu ni mke na mume ndiyo waliokubaliana? Kwahiyo hata wakitembea nusu uchi tuone sawa tu kwa sababu wenza wao wamekubali?!
Mhhhhh!!!!
Sasa suppose huoni sawa, apart from kuandika na kuexpress your views what else can you do??????
Ingekuwa issue basi sheria ingetungwa, lkn as long as hakuna sheria ni issue ya wahusika zaidi. Halafu utamaduni upi? Maana kuna wa kisabato, wa kimasai, wa kiislam, wakisomali, wakidatoga unaopatikana hapa hapa Tanzania au wakiMMU ambao bado hatujakubaliana.
 
Mmmmmh kazi kweli kweli. Sio siri hata mimi nilikua mshamba lkn kwa kusoma michango hii kidogo kwa mbali naanza kuelewa japokua nafsi yangu bado inakataa. Hasa ukizingatia na mazoea tuliyokua nayo kabla ya kipindi kama hiki cha kisasa hayakuwepo haya tuyaonayo. Kweli inabidi kwenda na wakati yaani uvae kama kim kadashian vile ili tu upendeze wow.
 
hahahah, mwaya unavaa unachofeel confortable nacho. mimi msisitizo wangu ni kuheshimu machaguo ya wengine, imagine the whole world wangekuwa kama mimi au kama wewe, what a boring world ingekuwa?
 
Back
Top Bottom