ipo kama kawa we piga *149*01 then chagua number sita utaiona mi ndo natumia hapa
nimejaribu sasa hivi kuunga na majibu ni haya, "ndugu mteja ofa hii imesitishwa endelea kufurahia dakika 20 kupiga simu mitandao yote......"
duh kasheshe,muda wa kulala mapema umewadia
nimejaribu sasa hivi kuunga na majibu ni haya, "ndugu mteja ofa hii imesitishwa endelea kufurahia dakika 20 kupiga simu mitandao yote......"
duh kasheshe,muda wa kulala mapema umewadia
ndo tuangalie utaratibu mwingine sasa mkuu... Ila kuna moja nitakutonya kwa PM ni ya unlimited masaa 24 kwa 500
Kuna mtu kanyea kambi maana sibure Mabundi 9t kupigwa kufuri gafla.
Hapo sasa watu watajazana kwa Paje munjy1 na huyu mupya Unlimited Internet @ 10,000 call 0753932250 maana cha kubundi kilikuwa kinawapunguzia mvuto.
Sitoshangaa kusikia Member humu anakamuliwa hadi 20,000 coz mtaka cha mvunguni sharti alaliwe na mwenye kitanda ati
Unaguna nini sasa?Mh...!!!!!
ndo tuangalie utaratibu mwingine sasa mkuu... Ila kuna moja nitakutonya kwa PM ni ya unlimited masaa 24 kwa 500