wajanja night has been ended!!

wajanja night has been ended!!

dah! mie hata sina hamu...
walishanzoesha vibaya...🙁

Confirmed this night?????

utupie na hapa pm shemeji

mkuu sasa ile mishe yetu ya kcmc vp?

Vipo bwana ila ukiwa ovyo unaingia kwa mabundi kama alternative

bora nikomae na my bullsh1t tigo tu maana jero unajiachia mpaka basi..

Njoo huku kwa Paje buku 10 tu kwa mwezg unlimitete download!

Njoo huku kwa Paje buku 10 tu kwa mwezg unlimitete download!

Mie kwa kuanzia ikimalizika bando yangu ya Bomba30 naitelekeza modem ya Voda kama nilivoitelekeza modem ya Sasatele. Nitachagua kati ya bando za Airtel au tIGO naskia wanayo bando ya unlimited kwa 25 K, maisha yataendelea kama kawa/

Muhamie Airtel..

Ni unltd hii mkuu?

Inafaa kwa kusurf tu maana ukimaliza zile MB 1oo za kupakua ndo basi tena unakuwa mwendo wa JF,FB,na web zingine

MB 100?! Tumekwisha.

Modem yangu ya voda ishapotea na wajanja night offer!

Mbona bado ipo! Acha uvivu wa kuperuzi, usikariri siku zote> Bofya *149*01# kisha chagua na. 6 kwenye menu hiyo :Internet & BB; Kisha bofya namba 1: Wajanja Night Offer.

mkuu emu jaribu kubofya iyo namb moja

Wameitoa aise...ukibonyeza wanakuletea ujumbe....ila possibly itarud kivingine tujipe moyo...who knows

OMG.... wewe ni wa wapi kaka?

Niliitumia siku ya alhamisi kwa mara ya mwisho. Na kwa sababu kwenye menu ingali inaonekana nikajua ingalipo. Hapo sasa, tuliochakachua modem za Airtel inabidi turudi kule kule. Pole sana, samahani sana kwa usumbufu.
 
Mkuu si ulisema una vitu vya kutumia kwenye proifier au haviko hewani nn
hehehe we tangazza tu biashara UNLIMITED 10,000 kuna siku zitakutoka puani au hii simu yako utakuja kuizima isipaikane naa wateja wako, mie langu jicho maana expirieance yaa muda mrefu kuliko yeyote humu na ndio maana hata bei sipunguzi, inabadi kaka utafute extra hackers na uwalipe kutafuta mbinu nyengine kabla ilouwepo haijagoma na ipo soon hili basi kupata ajali ya kugongwa na reli.
Kazi kwako, mie nina kila aina ya basi na ticket zote.
 
Hivi hii wajanja night ina unlimited bundle kweli au ni ujanja ujanja 2? Spidi yake ikoje
 
Wajanja night kwisha sasa unapewa GB 1 za kutumia
 
Duh pigo lingine hilo, sasa ntakuwa nawahi kulala maana ilikuwa shughuli lazima nilale saa 7 au 8
 
oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia mbali....doh!

Ofa mbadala waliyoleta sasa inaitwa wajinga night
 
pole ya nini ndugu September 5?

.
Ndugu yangu mana unapenda sana kutembea usiku....
.
Umezoea kuanzia kwenye saa 5 saa 6 hivi na ukanipa wasiwasi uliposema umezoea kushusha kama 6GB hiv mida kama hiyo...
.
Ila njunwa wamavoko sijui vpn au n nn mana some tym namwonaga saa 8 hv kama anashusha series
.
 
Last edited by a moderator:

kaka kuna Video library inabidi itoke Online iwekwe kwenye External HDD almost naikadiria 2TB
Hivo ni full kupakua mpaka kieleweke
Nilishaomba msaada hapa akina C6 wakanisaidia maana ni videos fulani zilikuwa hazipakuliwa kiurahisi kwa IDM
Lkn wajanja wakaona tobo hivo niko nakomaa nazo monday to monday
https://members.drnajeeblectures.com/medical-videos
 
.
Ndugu yangu mana unapenda sana kutembea usiku....
.
Umezoea kuanzia kwenye saa 5 saa 6 hivi na ukanipa wasiwasi uliposema umezoea kushusha kama 6GB hiv mida kama hiyo...
.
Ila njunwa wamavoko sijui vpn au n nn mana some tym namwonaga saa 8 hv kama anashusha series
.

kiukweli jamaa wamekata mzizi wa fitna sasa ivi kila mtu saa nne saa tano kulala. labda wachache wanasubiri saa sita mb100 za basi lile lingine
 
Last edited by a moderator:
kiukweli jamaa wamekata mzizi wa fitna sasa ivi kila mtu saa nne saa tano kulala. labda wachache wanasubiri saa sita mb100 za basi lile lingine
  • kulala mapema na kuamka mapema - hii inaongeza ufanisi wa kazi maofisini.
  • We fikiria mtu alikuwa akilala saa 8 au 9 na bado asubuhi anatakiwa kazini
 
  • kulala mapema na kuamka mapema - hii inaongeza ufanisi wa kazi maofisini.
  • We fikiria mtu alikuwa akilala saa 8 au 9 na bado asubuhi anatakiwa kazini
jana nimelala saa nne na nusu nimeamka saa nane usiku maana mwili haujazoea kabisaa kulala masaa mengi... itachukua muda mpaka kuzoea
 
Back
Top Bottom