wajanja night has been ended!!

Bingley

Senior Member
Apr 25, 2011
103
9
oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia mbali....doh!
 
dah!mimi na basi la 200 tena baaaasi...kweli hakuna mwanzo usiokua na mwisho
 
Ipo Wakuuuu. Nimeitumia Usiku wa Leo. Sema wameihamishia kwenye Choice namba Sita badala ya iliyokuwa namba 5 mwanzoni. Voda SIO Wababaishaji kaka. VODA NDIO MPANGO MZIMA. Ila sijui kwanini hawataki kutuletea 4G.
 
nimejaribu sasa hivi kuunga na majibu ni haya, "ndugu mteja ofa hii imesitishwa endelea kufurahia dakika 20 kupiga simu mitandao yote......"
duh kasheshe,muda wa kulala mapema umewadia
 
nimejaribu sasa hivi kuunga na majibu ni haya, "ndugu mteja ofa hii imesitishwa endelea kufurahia dakika 20 kupiga simu mitandao yote......"
duh kasheshe,muda wa kulala mapema umewadia

Ni kweli mkuu kwish habari za mabundi ila sijiweki mbali nao
 
Aisee sasa ntafanyaje mimi latest movies na games ntazipata vipi mlala hoi kama mimi bando la 20000 ..siwezi

basi tena ntabidi kununua line 9 za airtel ...
 
rip.jpg
Kweli jamaa wametuchinjia baharini.
Kubundi ndiyo basi tena
 
dah... maskini wee... ni jana tu nilikuwa naburufika... ilikuwa ni 4.5mbps download speed
2qtlqua.png
 
Hawa wanaopenda kulalamika ndiyo wametuponza yaani jamaa walikuwa wakilalama wanalipia cha 10, na 30, wanapewa siyo zaidi ya 1GB then speed inabanwa wakati sie wa kubundi full burudani kucha kuchele!!!
 
nimejaribu sasa hivi kuunga na majibu ni haya, "ndugu mteja ofa hii imesitishwa endelea kufurahia dakika 20 kupiga simu mitandao yote......"
duh kasheshe,muda wa kulala mapema umewadia

kweli utakuwa mgonjwa toka lini bundi huona mchana..
 
Kuna mtu kanyea kambi maana sibure Mabundi 9t kupigwa kufuri gafla.

Hapo sasa watu watajazana kwa Paje munjy1 na huyu mupya Unlimited Internet @ 10,000 call 0753932250 maana cha kubundi kilikuwa kinawapunguzia mvuto.
Sitoshangaa kusikia Member humu anakamuliwa hadi 20,000 coz mtaka cha mvunguni sharti alaliwe na mwenye kitanda ati
 
Last edited by a moderator:

Mh...!!!!!
 
ndo tuangalie utaratibu mwingine sasa mkuu... Ila kuna moja nitakutonya kwa PM ni ya unlimited masaa 24 kwa 500

nilikuwa nakupigia afu hupatikani hewani, njoo chemba..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom