JM Aristotle
Senior Member
- Mar 9, 2010
- 163
- 4
dah! mie hata sina hamu...
walishanzoesha vibaya...🙁
walishanzoesha vibaya...🙁
ndo tuangalie utaratibu mwingine sasa mkuu... Ila kuna moja nitakutonya kwa PM ni ya unlimited masaa 24 kwa 500
utupie na hapa pm shemeji
Vipo bwana ila ukiwa ovyo unaingia kwa mabundi kama alternativeMkuu si ulisema una vitu vya kutumia kwenye proifier au haviko hewani nn
Kaka hatujaingia mkataba nao ni offer tu so kuna vigezo na masharti ya kuzingatiwa katika mambo hayo hivyo hakuna wa kuwatishia nyau.
bora nikomae na my bullsh1t tigo tu maana jero unajiachia mpaka basi..
Inafaa kwa kusurf tu maana ukimaliza zile MB 1oo za kupakua ndo basi tena unakuwa mwendo wa JF,FB,na web zingineNi unltd hii mkuu?
Inafaa kwa kusurf tu maana ukimaliza zile MB 1oo za kupakua ndo basi tena unakuwa mwendo wa JF,FB,na web zingine
oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia mbali....doh!
Mbona bado ipo! Acha uvivu wa kuperuzi, usikariri siku zote> Bofya *149*01# kisha chagua na. 6 kwenye menu hiyo :Internet & BB; Kisha bofya namba 1: Wajanja Night Offer.
Mbona bado ipo! Acha uvivu wa kuperuzi, usikariri siku zote> Bofya *149*01# kisha chagua na. 6 kwenye menu hiyo :Internet & BB; Kisha bofya namba 1: Wajanja Night Offer.
OMG.... wewe ni wa wapi kaka?
Mbona bado ipo! Acha uvivu wa kuperuzi, usikariri siku zote> Bofya *149*01# kisha chagua na. 6 kwenye menu hiyo :Internet & BB; Kisha bofya namba 1: Wajanja Night Offer.
OMG.... wewe ni wa wapi kaka?