Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

kama ninavyojua mm ni kwamba kwa hapa udsm carryover na supp is the same kwa sababu zote humsababishia mwanafunzi kuwekewa C*.mwanzoni ilikuwa ni tofauti kwani ulikuwa ukipata carryover unaanza kusoma kozi upya na kupata maksi za kawaida ila nw mambo ni tofauti hakuna cha supp wala carr yote ni sawa 2 katika performance.
 
sup haishushi GPA kwani ukipata A,B,B+ kwenye kutafuta gPA wanaweka thamani ya grade uliyopata ila kwenye cheti wanaweka C
 
Hiv ukipata sapu au ukicarry g.p.a yako inashuka?? na je hvyo vitu viwili i mean hyo sapu na kucarry vinaweza kusababisha usipate kazi ama kuajiriwa?? Tuambizane wadau
watu wanaongelea hearsay tu ngoja nikwambie kitu from my personal experience ya supp na carry over..ukipata supp ya 'E' ukiichomoa unaongezewa units 2 supp ya 'D' unit 1..na hata ufaulu vipi unawekewa 'C' na ukicarry over unapewa unachostahili kama ni A,B,C etc..kuhusu ajira hilo ni swala la Mungu na bahati uliyonayo maana mie nimevipata vyote hivyo chuo nimemaliza mwezi wa 6 mwaka huu na mpaka ninavyosema sasa hivi ajira nimeshapata nakula bata tu..kwaio usivunjike moyo uki supp,carry over hata ukiwa na GPA ndogo..OVER..!!
 
'Hons' inaondolewa

acha kudanganya watu au kusema usichokijua mimi nimesupp na ku carry over kwenye matokeo yangu hakuna kinyota wala nin na hons ninayo (UDSM) hons inawekwa pale utakapopandisha GPA, kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine..regardless of supp or carry over
 
watu wanaongelea hearsay tu ngoja nikwambie kitu from my personal experience ya supp na carry over..ukipata supp ya 'E' ukiichomoa unaongezewa units 2 supp ya 'D' unit 1..na hata ufaulu vipi unawekewa 'C' na ukicarry over unapewa unachostahili kama ni A,B,C etc..kuhusu ajira hilo ni swala la Mungu na bahati uliyonayo maana mie nimevipata vyote hivyo chuo nimemaliza mwezi wa 6 mwaka huu na mpaka ninavyosema sasa hivi ajira nimeshapata nakula bata tu..kwaio usivunjike moyo uki supp,carry over hata ukiwa na GPA ndogo..OVER..!!

Nimeipenda hii. Ajira haina mahusiano ya moja kwa moja na GPA kubwa kama watu wengi wanavyo dhani.

Binafsi sikupata GPA kubwa kihivyo lakini kwa wahitimu wa taaluma yangu kwenye mwaka wangu wa masomo, mimi nilikuwa wa kwanza kupata ajira, sio kwa kutumia undugunization.

Mambo mengine ujitengeneza yenyewe, wewe cheza na sehemu yako vizuri tu.
 
kazi unapata kuanzia g.p.a ya 3 na kuendelea,ila ni vizur upate ya 3.5 above ili uweze kuwin this market of employment,grade "c" zikiwa multiple in number ktk result huwa znashusha g.p.a,carry nazo s nzurii coz znachelewesha sana mda wa kumalza chuo
 
Tatizo wewe hujamuelewa Hamy D...yeye alizungumzia utofauti wa units kwenye module. Kwa mfano, pale Ardhi university course kama Architecture kwa semester moja ikiwa na module 4, basi module moja inaweza ikawa na unit 10 na zingine mbili mbili, na ukipiga A hilo somo la unit 10 GPA yako inakuwa juu hata kama hizo module zingine ukipata C.

Hivyo inategemea na vyuo, hata UD kule COET module zina tofautiana units.

hilo nalifahamu sasa iwapo utaskwa maelezo yake unafikiria how will u boost ur gpa.this remains constatnt mkuu keeps on lowering the gpa kwasababu sup inakulazimisha uwe na compasory score ya C unlesss ur capability waz to get C.maana kwamba average ya score C katika units kumi ni C
 
Nimeipenda hii. Ajira haina mahusiano ya moja kwa moja na GPA kubwa kama watu wengi wanavyo dhani.

Binafsi sikupata GPA kubwa kihivyo lakini kwa wahitimu wa taaluma yangu kwenye mwaka wangu wa masomo, mimi nilikuwa wa kwanza kupata ajira, sio kwa kutumia undugunization.

Mambo mengine ujitengeneza yenyewe, wewe cheza na sehemu yako vizuri tu.
Mkuu mimi kwenye group letu (friends) chuo ndo nimeanza kutoa gundu kwa wale wanaodai ajira ngumu au hadi utoe hela..ila mimi naamini Mungu alipanga tu iwe hivyo..maaana GPA yenyewe inaning'inia...aiseeee.....unaweza kua na GPA kubwa nzuri kwenye interview..ukashindwa...kujielezea vizuri...!!!
 
Nafufua uzi,,hivi carry over ya ud grade utapata C ata ukiwa na A
 
Supp inapunguza Gpa ila carry haipunguzi kwa maana ukipata A unawekewa A yako kama ilvo supp hata upge A utawekewa C tu..carry au supp hazikuzui kuajiriwa kijana so ondoa hofu.over
Si kweli, kwa chuo cha Udsm uki-carry na kufauru vizuri hiyo carry yako bado unaandikiwa C .
UDSM Undergraduate Prospectus 2016 / 2017 - TZadmissions
Supp inapunguza Gpa ila carry haipunguzi kwa maana ukipata A unawekewa A yako kama ilvo supp hata upge A utawekewa C tu..carry au supp hazikuzui kuajiriwa kijana so ondoa hofu.over
 
Nafufua uzi,,hivi carry over ya ud grade utapata C ata ukiwa na A
Ndio utawekewa C kibaya zaidi inakuwa na point moja tofauti na C ya kawaida yenye point mbili, Ila kunajamaa kutoka department ya economics aliniambia wenyewe ukipata carry over wanakuwekea ulichopata hatakama ni A
 
Daaah aisee,,nimekamatwa fn101 ,,kwa udbs je inakuwaje,,maana wale ni kauzu kwel
 
Mkuu mimi kwenye group letu (friends) chuo ndo nimeanza kutoa gundu kwa wale wanaodai ajira ngumu au hadi utoe hela..ila mimi naamini Mungu alipanga tu iwe hivyo..maaana GPA yenyewe inaning'inia...aiseeee.....unaweza kua na GPA kubwa nzuri kwenye interview..ukashindwa...kujielezea vizuri...!!!
Tatizo watu wanakuwa na GPA kubwa A kibao kumbe za wizi wamtihani, vijiji kwenye vyumba vya mtihani mwishowe hizo A kwenye vyeti zinakuwa zinawalilia zirudishwe kwa mwenye nazo , zinageuka lahana zinawachelewesha kupata kazi, mwenye GPA ya 2 point something anapata kazi kiurahic
 
What about udbs
Utalamba C [emoji2] [emoji2] [emoji2] daa nilijichanganya mwaka wa kwanza nikaopt uko udbs ac100 niliingia pindi mara tatu tu nikachange gia angani daa, wekomaa tu hiyo finance upate C ila masomo mengine ndo ufanye vzr ufidiepo kidogo.
 
Back
Top Bottom