Hebu jaribu upate hizo supp na Carry halafu uangalie mwenyewe....
kha! we nae! mwenzio kauliza kiroho safi kutaka kujua, wewe unamzodoa hivyo!! mh!!
Hiv ukipata sapu au ukicarry g.p.a yako inashuka?? na je hvyo vitu viwili i mean hyo sapu na kucarry vinaweza kusababisha usipate kazi ama kuajiriwa?? Tuambizane wadau
Na kwa nini utake kuajiriwa!!??
Supp inapunguza Gpa ila carry haipunguzi kwa maana ukipata A unawekewa A yako kama ilvo supp hata upge A utawekewa C tu..carry au supp hazikuzui kuajiriwa kijana so ondoa hofu.over
sikiliza nikwambie my dear. Ukipata sapu ukafanya hiyo pepa, hata upate a kupitia usahihishaji wa mwalimu wako, bado itaandikwa c, which means iwapo ungekomaa katika mtihani ukapata b au a, ingekuwa safi sana ktk gpa yako. Sasa kwa upande wa kucarry, ni kwamba ukicarry maana yake unaanza upya kufanya somo hilo,ambapo itakubidi uingie darasani kuhudhuria lectures, utafanya assgnts, tests,(hadi ada unalipa tena) nk, na mwisho utafanya ue, so hapo ukipata a inakuwa a hiyohiyo, b, c, zote zinakuwa zinabaki km zilivyo ila ukifeli tena, basi unasapu na ukizidisha vyote kusapu na kucarry jua kabisa kuwa shule imeshindikana kwa upande wako na chuo kinakusaidia kwa kuku-discontinue!!! Muhimu kwa wanafunzi, jamani someni sana kufaulu si lele mama! Muwe serious na shule.
Sio mara zote ku-supp au ku-carry kuna shusha GPA; Kwa kuwa GPA inategemea number of factors ikiwemo unit ya somo. Kwa mfano, umepata supp ya somo ambalo unit yake ni 1, na kwenye masomo ambayo unit zake ni 3, 4, 5 na kuendelea umepata A au B+, ni dhahiri GPA yako itakuwa juu hata kama utakuwa na supp au uta-carry.
na ktk cheti chako wanaweka indicators kama ulisapu ama ulicarry?
Sio mara zote ku-supp au ku-carry kuna shusha GPA; Kwa kuwa GPA inategemea number of factors ikiwemo unit ya somo. Kwa mfano, umepata supp ya somo ambalo unit yake ni 1, na kwenye masomo ambayo unit zake ni 3, 4, 5 na kuendelea umepata A au B+, ni dhahiri GPA yako itakuwa juu hata kama utakuwa na supp au uta-carry.
Definately. Kwa wale wenye supp cheti uwekwa star juu ya grade C. Kwa wale walio carry uwa inaandikwa carry over pamoja na grade yake (kama ni A, B+, B nk).
mkuu hiki chuo gancha wedding nn?mm sijawai sikia na nafikiri sitakuja sikia kwa mwingine zaidi yako kwan ww unapozungumzia unit kwa uelewa wako maana yake nn.dogo uliyeuliza swali majibu ya wadau hapo juu yapo sahihi kabisa sup inashusha GPA kama uwezo wako wa kawaida ulikuwa kupata zaidi ya C wakat carry unapata ulichokipata yani kama A basi watakuwekea A japo na kushauri usi interntain hivi vitu maana kama carry inakuongezea workload ktk masomo
Hiv ukipata sapu au ukicarry g.p.a yako inashuka?? na je hvyo vitu viwili i mean hyo sapu na kucarry vinaweza kusababisha usipate kazi ama kuajiriwa?? Tuambizane wadau
Kwa bahati mbaya mimi uwa sibishani na wapuuzi. Samahani sana kama nimekutatiza.
Eti hujui impact ya unit ya somo kwenye ku-calculate GPA?! OMG, what a jerk?!