ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,133
Hahaaa account nimechomoa ,,hii finance coursework imenichoma sikuwa na semina na test sikuperfom vyema so chances za kuchomoa zilikua hafifu kidogo dah chuo kitu kingine aise, asante kwa ushauri ntapambana na mengineUtalamba C [emoji2] [emoji2] [emoji2] daa nilijichanganya mwaka wa kwanza nikaopt uko udbs ac100 niliingia pindi mara tatu tu nikachange gia angani daa, wekomaa tu hiyo finance upate C ila masomo mengine ndo ufanye vzr ufidiepo kidogo.