Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

Kusapu kunashusha gpa bt kucarry hakushushi koz unaanza afresh.na pia haikukoseshi ajira t depends na gpa yako ukimalza chuo
 
sikiliza nikwambie my dear. ukipata sapu ukafanya hiyo pepa, hata upate A kupitia usahihishaji wa mwalimu wako, bado itaandikwa C, which means iwapo ungekomaa katika mtihani ukapata B au A, ingekuwa safi sana ktk GPA yako. Sasa kwa upande wa kucarry, ni kwamba ukicarry maana yake unaanza upya kufanya somo hilo,ambapo itakubidi uingie darasani kuhudhuria lectures, utafanya assgnts, tests,(hadi ada unalipa tena) nk, na mwisho utafanya UE, so hapo ukipata A inakuwa A hiyohiyo, B, C, zote zinakuwa zinabaki km zilivyo ila ukifeli tena, basi unasapu na ukizidisha vyote kusapu na kucarry jua kabisa kuwa shule imeshindikana kwa upande wako na chuo kinakusaidia kwa kuku-DISCONTINUE!!! muhimu kwa wanafunzi, jamani SOMENI SANA kufaulu si lele mama! muwe serious na shule.

hili ndilo jibu la kisomi na popote uendapo utakutana na majibu sahihi kama haya sasa HAMY-D sijui anachoeleza ni nn sijui anaeleza chuo cha wedding au?
 
Last edited by a moderator:
Na kwa nini utake kuajiriwa!!??

kwa sababu kitu MTAJI inakuwa ishu katika kipindi cha awali ndo uko fresh from chuo hapo nyumbani ramani hasomi wtegemea kuajiriwa ili kutengeneza mtaji wa kujiajiri.itu cha pili kuajiriwa kunarahisisha kufikiria kwakuwa haijalishi kampuni imepata hasara kiasi gani mwisho wa mwezi unalipwa?sasa jiajiri then kampuni/ofisi yako hajazalisha kiwaqngo ulichotegemea lkn waajiri wako watataka kulipwa ndipo hapo utaona changamoto ya kujiajiri.utapata wapi pesa uwalipe?utajua wewe
 
Sio mara zote ku-supp au ku-carry kuna shusha GPA; Kwa kuwa GPA inategemea number of factors ikiwemo unit ya somo. Kwa mfano, umepata supp ya somo ambalo unit yake ni 1, na kwenye masomo ambayo unit zake ni 3, 4, 5 na kuendelea umepata A au B+, ni dhahiri GPA yako itakuwa juu hata kama utakuwa na supp au uta-carry.

Heri yenu wenye koz zenye unit kubwa hivyo, hapa kwetu unit kubwa sana 2.
 
Na kama ukiwa na g.p.a ndogo lk 2 hv...je unaweza ukaipandisha mpk 3 hv, kama ukikaza msuli lkn?? je inawezekana kuipandisha kutoka g.p.a ndogo mpk kubwa
 
ukipata sup ukachomoa unawekewa c.il a star sikuhzi hawawek.pia ulicarry alaf ukaja kufaulu pia siku hiz wanaweka c.na sio A wala B
 
Na kama ukiwa na g.p.a ndogo lk 2 hv...je unaweza ukaipandisha mpk 3 hv, kama ukikaza msuli lkn?? je inawezekana kuipandisha kutoka g.p.a ndogo mpk kubwa

inawezekana kabisa mkuu tena ni wewe tu kukazana kitabu.ila mwangalie majibu ya HAMY-D tango poli ilo sijui kasoma chuo gan maana hata anachokiandika hakijui
 
Last edited by a moderator:
inawezekana kabisa mkuu tena ni wewe tu kukazana kitabu.ila mwangalie majibu ya HAMY-D tango poli ilo sijui kasoma chuo gan maana hata anachokiandika hakijui

hahahaha! msamehe bure mshkaj.
 
Last edited by a moderator:
inawezekana kabisa mkuu tena ni wewe tu kukazana kitabu.ila mwangalie majibu ya HAMY-D tango poli ilo sijui kasoma chuo gan maana hata anachokiandika hakijui

Tatizo wewe hujamuelewa Hamy D...yeye alizungumzia utofauti wa units kwenye module. Kwa mfano, pale Ardhi university course kama Architecture kwa semester moja ikiwa na module 4, basi module moja inaweza ikawa na unit 10 na zingine mbili mbili, na ukipiga A hilo somo la unit 10 GPA yako inakuwa juu hata kama hizo module zingine ukipata C.

Hivyo inategemea na vyuo, hata UD kule COET module zina tofautiana units.
 
Last edited by a moderator:
Na huwa wanatumia logic gn kupata g.p.a ambayo ndo inainclude kam ni 1st class etc. coz matokeo ya 1st wanakuandikia g.p.a yko uliyoipata then 2nd year hvyohvyo mpk 3rd year.....hii inakuwaje
 
thanx ven me nmepata k2 hapo nlkuwa cjui k2
 
Na kama ukiwa na g.p.a ndogo lk 2 hv...je unaweza ukaipandisha mpk 3 hv, kama ukikaza msuli lkn?? je inawezekana kuipandisha kutoka g.p.a ndogo mpk kubwa

kila semister ina g.p.a yake na kila mwaka wa masomo una g.p.a yake, harafu kuna oveall g.p.a ya miaka yote uliyosoma hvo unaweza ukawa na gpa ya 2.0 ktk semister ya kwanza ya mwaka wa kwanza then ukakaza msuli semister ya pili ukapata 4.0 hvo utakuwa na na g.p.a ya 3.0 g.p.a ya mwaka wa kwanza na mwaka wa pili hvo hvo mpaka unamaliza baadae wanakupa gpa ya jumla. Hvo ni kweli unaweza ukaanza na gpa ndogo ukakazana ikapandapanda kuwa kubwa au unaweza anza na kubwa then ukazembea ikashuka hasa, kingine ni kwamba gpa huwa wanatrancate kwa chini tuu na sio kwenda juu dah! huwa inauma yaani kama umepata 3.59 hapo ni sawa na 3.5 usije tegemea utawekewa 3.6 ..hvi ndivo ilivo kwa mzumbe univ.
 
Baadh ya vyuo kama mzumbe huwa vinawa bakisha baadh ya wanafunz katika kozi zilizo na upungufu wa walimu wale wanafunzi waliokuwa wanaonekana ni majembe yaani wenye ma gpa makubwa makubwa kuwa ma tutorial assistants na baadae kuwa ma lectures hvo hata utoke kinala katika kozi yako kwa kuwa na gpa kubwa lakini kama ulishawahi kusuppy(kimeo) hata mara moja hawakuajiri. ila sekta nyingne hawaangalii suppy wala carry kwa maono yangu labda waseme wengine wanaofahamu zaid...
 
:bowl: mmh! kwenda huko roho mbaya 2...m cjui ndyo dat why nimeuliza na siajabu hat ww ulikuwa hujui....majungu hayo! tedo inakuhusu hyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom