Wajameni kuna kuoga na kujiswafi

Wajameni kuna kuoga na kujiswafi

mamy wataalamu wa afya wanasema,papuchi ukiingiza vidole ndani unaua special bacteria ambao wako kwenye papuchi kuprotect.so ukiingiza vidole wale bacteria wanakufa then hapo ndo utapoanza kutema harufu kama yai viza.so wataalamu wanasema papuchi isafishwe kwa nje tu ndani achana nako coz hii ki2 inajisafisha yenyewe kwa ndani.

Wrong my dia...hao wataalam wanakaa sehemu gani?????hakunaga yai viza ukifata izo procedure...am talkin from experience and not speculation
 
Sisi watandale aituhusu hii, kupata maji kisado unamshuru Mungu. Sasa tena maji hayo hayo nichanganye na machicha ya nazi nioshee ashua????
 
ha ha ha.... ati "kuosha k***de kwa chicha la nazi"..
mi mwanafunzi kweli, lol...

machicha%2Bya%2Bnazi.jpg
 
Bora tu uendelee kuwa mwanafunzi....tena wa .! Manaake mambo mengine mi naona ni ya kusadikika tu!
teeh...mimi na wewe tutafute sayari yetu tukaishi manake, lol....
Ati kuosha kwa mini? Kweli watu wajuvi
 
teeh...mimi na wewe tutafute sayari yetu tukaishi manake, lol....
Ati kuosha kwa mini? Kweli watu wajuvi

Mwenzangu!
Kwa hiyo ya kuosha na chicha la nazi.....mmmh!!

Anyways ihifadhi tu for knowledge!
 
Kende nlitie nazi km maharage?...si uharibifu wa resources.

Nazi ya azam.american garden au original?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom