Wajameni kuna kuoga na kujiswafi

Wajameni kuna kuoga na kujiswafi

Na kwa wadada papuchi inaoshwa kama sahani....sio kwa papara....taratibu pande zote.....kidole kiingizwe kidogo kutoa ule ute mweupe maana huo ndo moja ya chanzo cha fishy smell.....ukijisafisha ivo twice per day...bad fishy smell will be a history..to all ladies who care
Kujipiga kidole tena! Na hapo bado hujapigwa Dushelele.Kha, wanawake kazi mnayo.
 
Sio dole lote laingizwa kidogo tu mwanzoni apo...dont exaggerate things
K ina zaidi ya inchi 6, ukiingiza kidogo tu i.e fundo moja la kidole -utakuwa unajisafisha au unajitekenya? Si bora muwe mnapigwa brush (dushelele) kila siku ili iwe safi???.
 
mamy wataalamu wa afya wanasema,papuchi ukiingiza vidole ndani unaua special bacteria ambao wako kwenye papuchi kuprotect.so ukiingiza vidole wale bacteria wanakufa then hapo ndo utapoanza kutema harufu kama yai viza.so wataalamu wanasema papuchi isafishwe kwa nje tu ndani achana nako coz hii ki2 inajisafisha yenyewe kwa ndani.

Duuu kusafisha kwa nje tu,,mi nadhan kuingiza kidole na kujisafisha inasaidia kutoa uchafu ule unaokuwa umeganda na wakat mwingine huwaga unatoa harufu...hvyo ukisafisha kwa nje tu hta hyo mikojo unajisafishaje....?????? Angalizo unapokuwa unajisafisha unatumia kidole cha pili kutoka kidole gumba taratibu tu uchafu unatoka ma utajihis umekuwa mwepes sana.....sidhan kama hao bakteria huwa wanatoka kirahis hvyo....hyo n maon yangu tu
 
K ina zaidi ya inchi 6, ukiingiza kidogo tu i.e fundo moja la kidole -utakuwa unajisafisha au unajitekenya? Si bora muwe mnapigwa brush (dushelele) kila siku ili iwe safi???.

Mmh na wew...umesimamia kucha na papuchi zetu...!!!!😉😉
 
Hayo mambo ya kusuguliwa na machicha, gololi si zitakuwa zinauma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom