Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,651
- 860,935
Watu wengi wanafikiri kuoga tu inatosha, na ndio maana humu jamvini hutokea kesi za watu kuachana na wapenzi wao kwasababu ya kunuka jasho kikwapa au kuwa na kaharufu fulani kabaya ambako hakatoki.
Tumeshawahi kusikia mtu akiambiwa kuwa ananuka chupi au hajui kufua chupi,kuna wanaume hata, huku jamvini wanalalamikia fungus sehemu za siri,huu wote ni uchafu, kwa wanaume wenzangu tumalizapo kuoga ni lazima tufanye special treatment huku sirini, ni lazima tushave at least once a week na baada ya kuoga ni muhimu kuzisugua kende zetu na kitaulo laini au brash laini unajua kende zinabeba uchafu mwingi sana sometimes ukiweza waweza kumwambia shemeji akakusugua na chicha la nazi na baada ya kutakata paka mafuta ya nazi.
Fangasi utazisikia kwa wengine tu, wanawake nao hivyo hivyo mtu akiwa mvivu kidogo tu na joto hili la TZ kunuka chupi jasho au kikwapa ni rahisi mno na ndo mwanzo wa kukosa wachumba au kukimbiwa.