Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Nakufananisha na Zitto aliyesema "Lowasa akiweka wazi mali zake wanamsajili rasmi kuwa Mzalendo".

Yaan jambo rahisi kama harambee au kutangaza mali zake ndo iwe tayar keshakuwa msafi,mzalendo & anastahili Urais??

Don't kid people plz. HAMY-D
kwa wabongo wa HAMY-D type unahitaji uwe na ubwabwa kidogo, soda ya kusindikizia ubwabwa, pengine takrima ya buku kama tano, fulana na kanga unakuwa umemaliza kazi. Kwa bahati mbaya ndio wapiga kura walio wengi. Hapa hakuna cha Waislamu wala Wasabato Masalia. Hii imetokea tu kwa bahati nasibu kwa tukio la leo location ikawa msikitini.
 
Watu wanaenda kutumika kirahisi na wanafurahia kwelikweli wakiwa wanatumika. Watanzania ni very strange.
 
MOU ilisainiwa na Slaa.

MoU ni mkombozi wa Watanzania. Asante Slaa watu wamepona magonjwa yao, wengine wamepata PhD, ajira zimepatikana, vifo vimepungua sababu ya Slaa kusaini MoU. Mungu mpe maisha maisha marefu Slaa
 
MoU ni mkombozi wa Watanzania. Asante Slaa watu wamepona magonjwa yao, wengine wamepata PhD, ajira zimepatikana, vifo vimepungua sababu ya Slaa kusaini MoU. Mungu mpe maisha maisha marefu Slaa

Slaa ana miaka 70 kwa sasa....maisha hayo marefu unayomuombea ni yapi tena? Mbona mnataka kutuingizia vikongwe Ikulu ninyi watu? Mnamapenzi na taifa kweli!?!!
 
Hakuna mgombea ambae ana nia kweli ya kuchaguliwa kwenye ngazi yoyote ile atazibeza kura za Waislam. Kumbuka hilo.

Hata ex Padri Slaa akiteuliwa kuwa mgombea Urais leo hii utamuona atavyojipendekeza kwa Waislam na utanikumbuka kwa hili, kwani ni mbali?

Hiyo sio hoja bibi FaizaFoxy, hoja ni kwamba imekuwaje Waislamu wamesahau MoU? Je ni sababu ya shekeri za mzee wa Monduli? Jibu hili.
 
Last edited by a moderator:
Slaa ana miaka 70 kwa sasa....maisha hayo marefu unayomuombea ni yapi tena? Mbona mnataka kutuingizia vikongwe Ikulu ninyi watu? Mnamapenzi na taifa kweli!?!!
Simbakibogoyo unaujua umri wa Pinda,Sita?hata huyo Dr.Bilali aliyepo ikulu sasa unajua umri wake?
 
Hata u twist vipi maneno yako huwezi kuukimbia ukweli, hakuna ataepata Urais nchi hii bila kura za Waislam, na Waislam si rahisi kumpa kura mtu kama Padri Slaa, kwanza maadili yake ni nil, zero, kaput. Sijuwi ni Muisla gani ataekubali kununuliwa na huyu babu mkosa maadili.

Chadema kwa kifupi hamna bao mwaka huu, kwisha kabisa. Zitto mtamjuwa jina la utoto anaitwa nani.

Mpaka umefika umri huo hujui jina la utoto wa Zitto kuwa ana itwa matunguri?.
 
Unajifanya umeelimika lakini ukichunguza posts zako zaidi ya 90%, haichukua muda kutambua kwamba una tatizo kubwa zaidi ya ujinga. Akili yako uliyopewa na Mungu umeififisha kwa kuifunika kwa upumbavu wa udini. Usipojaliwa neema kuundoa hata ahera hutaiiona maana ujinga na upumbavu siyo sehemu ya utakatifu. Uombe zaidi neema ili uione nuru na kuzitambua kasoro na mapungufu yako ili uijenge haiba na nafsi yako upya.

Kwani mada imewataja akina nani? Soma kichwa cha habari.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kura tutapiga tu, hakuna wakutuzuwia, lakini Padri Slaa hatumpi kura zetu, ajitayarishe kuwa msindikizaji tu. Kumbuka hilo.
Nakumbuka uliwahi kuniambia hata MoU itafutwa. Sasa mbona Alhaj Kikwete kaiongezea mahela zaidi?! Tena katika kipindi hiki cha ukata na kukosa misaada, wanufaikaji wa MoU hawajawahi kukosa mpunga! Teh teh teh, Kadhi mliyesema mnamtaka Kapeperuka. Na sasa mnaimba mapambio ya kumsifu mla kitimoto Lowassa
 
teh teh teh teh mla kitimoto!!!!
 
Nakumbuka uliwahi kuniambia hata MoU itafutwa. Sasa mbona Alhaj Kikwete kaiongezea mahela zaidi?! Tena katika kipindi hiki cha ukata na kukosa misaada, wanufaikaji wa MoU hawajawahi kukosa mpunga! Teh teh teh, Kadhi mliyesema mnamtaka Kapeperuka. Na sasa mnaimba mapambio ya kumsifu mla kitimoto Lowassa

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kura tutapiga tu, hakuna wakutuzuwia, lakini Padri Slaa hatumpi kura zetu, ajitayarishe kuwa msindikizaji tu. Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom