Waislamu kuweni wavumilivu

Waislamu kuweni wavumilivu

Hapa umechanganya. Jiwe jeusi si shetani. Vipi umbusu shetani? Tudi tena masomoni.
Swali lilikuwa hivi:-
-Jiwe huwa linapigwa busu na mahujaji wasiovaa chupi pale Mecca?
-Je,huwa wanarusha/kupiga mawe lile jiwe?
Hapo nina haja ya kurudia darasa la pili au maswali yamekuwa pilipili kwako?
NB:Mimi ni mshari sana.
 
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI

Ambayo yanakupeleka jehanam

Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.

Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.

Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.

Muislamu

Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;

1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole

Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."

Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.

2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)

Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."

Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.

3. Mjadala wenye hoja za wazi

Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."

Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.

Mimi

Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:

Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.
Hamnaga Hamis fala ama lazima awe na dosari sa nimeshtuka kuona Hamis anaandika pumba kumbe ni HAMIS KAFIRI 😂😂😂
 
Waislamu wataenda Jehanamu kwa kumkataa Yesu Kristo. Ili kuepuka Jehanamu mtu hana budi kuzaliwa mara ya pili kwa njia ya kumpokea Yesu Kristo moyoni mwake na kuishi kwa kumtegemea yeye na kukataa miungu mingine.
 
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa.
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
Hakika huyu Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
 
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa , hadhi na akili yako ni ndogo sana kiasi ambacho itakuwa upotevu wa muda kukaa na kuanza kujadilinanna wewe mjadala wowote ule unahitajia hoja na akili.

Idiot detected . Kwaheri siwajibu wajinga mimi
Ana hoja Tena yameandikwa kwenye vitabu vyenu

Why usimjibu kwa hoja,ww unamkimbia
 
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI

Ambayo yanakupeleka jehanam

Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.

Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.

Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.

Muislamu

Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;

1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole

Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."

Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.

2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)

Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."

Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.

3. Mjadala wenye hoja za wazi

Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."

Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.

Mimi

Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:

Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.
Sisi Wakatoliki tunahubiriwa kuheshimu Imani za wengine ila tukiwa imara katika Imani yetu ya Kanisa Moja Katoliki la Mitume.
 
Ana hoja Tena yameandikwa kwenye vitabu vyenu

Why usimjibu kwa hoja,ww unamkimbia
Hata mtu ambaye dishi limeyumba anaweza kuwa na akili ya kukopi maandiko na kuleta mezani na kutaka majadiliano ila at the midst of the discussion mwezi mchanga unaweza kumjia akaanza kutukana na kutoka nje ya mjadala ndio maana imekuwa siku zote kanuni ya werevu kuwaepuka Wajinga.

Akitaka mjadala ahakikishe yupo kwenye utimamu wa akili asilimia 100% ndipo nijadiliane nae , kinyume na hapo ni kupoteza muda wangu muhimu maana hoja zake zote nyepesi mno kama ubawa wa mbu tatizo lipo kwake ni mental case.
 
Eeeeh!!!!!!
Aisee hii ni zaidi ya aibu ,nimechekaa sanaa baada ya kusoma hii.
Kama ingekuwa mahakamani hiki kitabu kingepigwa marufuku kisitumike kwasababu ndani yake ni ushetani mtupu......hapanaa bana hiki sio kitabu cha MUNGU yaani Kwa haya uliyoandika napata jibu kuwa hii dini ni shetani mwenyewe amehusika

Sisi tuligundua hilo tukakimbia.... 🤣
 
-ni kweli kuna kubusu jiwe lakini siyo lazima, bali mkiwa wachache au ukiwa karibu na eneo hilo
- mawe yanapigwa siyo kwa jiwe hilo unalolisema hapo Kaaba bali sehemu nyingine mbali kabisa (7km) kutoka hapo, panaitwa Jamarat. Hiyo ni symbolic gesture tu kama unavopiga msalaba au kupiga magoti na kufumba macho as if upo mbeke ya Mungu. Asili yake ni matendo ya Nabii Ibrahim kumpiga shetani aliemshawishi asitekeleze amri ya kumchinja mwanawe.
Ni kweli pia wakati mkiwa ibada ya hija kuna kipindi maalum cha kuvaa vazi la ihram ambalo ni mashuka hayo mawili meupe kwa mwanaume lakini mwanamke anavaa mavazi yake kama kawaida kwa stara inayoruhusiwa. SIyo uchi kama inavyotakiwa ionekane kwani mtu anaweza kukuhoji pia je mbona lile sanamu la mungu kwenye msalaba lipo uchi tu!
Ibada zote zinazofanyika kwa dini zote ni symbolic hazina maana yoyote halisi kwa wakati, ndio maana hta tunapoomba hamna yeyote anayemuona huyo muombwaji kwa imani yoyote

Mihadhara ya kidini Dar imeanza miaka ya 80. Asili ya wakazi wa Dar na Pwani na dini yao wengi ilikuwa waislam. Ilianza kwa sisi wanafunzi wa shule kupewa biblia na kuanza kuzisambaza majumbani na ikatokea kuanza kusomwa. Hii ilionekana kama njia ya kutaka kuingiza watu katika Ukristo. Wazazi walipoanza kuuliza maswali na kujibiwa miskitini hoja zikahamia kwenye majukwaa kufanya comparative religion debate ndipo wakaibuka hao kina Mazinge na wengineo na huku pia kuna Big November Crusades, na kina Moses Kulola na hoja za kutosha na yote hiyo ilikuwa na lengo la propagation. Maswali yakiulizwa mbona huku tunasema hivi nyie mnasema hivyo kujibiwa ikaonekana ni kashfa, kwa pande zote.
Kabla ya hapo wahadhir wakubwa wa Kiislam kina Sheikh Harith, Sheikh Yahya Hussein na Sheikh Kassim Juma walikuwa na mihadhara na mafunzo ya Quran, historia ya dini, masuala ya kijamii, malezi ya kIIslam na maadili katika Uislam, hawakugusia ukristo kabisa
Mimi ni Muislam, early 50s, napata akili kwenye 70s nilikuta biblia ya kilugha nyumbani Mzee alipewa na rafiki yake, nililkuwa nasoma sielewi hiyo lugha ila napenda tu misamiati na vile nikisikia wazee waizungumza nikawa curious tu. Nimesoma shule za Serikali lakini zina asili ya kanisa na miaka yote kila ibada za majivu tukilazimishwa kwenda kupaka majivu kanisani kwenye makanisa hapo karibu. Nimepitishwa mafundisho shule naambiwa lile sanamu pale kwenye msalaba ni mungu na mchana tukirudi nyumbani naenda madrassa naambiwa mungu haonekani.
Nimepata nafasi ya kuzunguka na kusali Orthodox Church, Addis, St Peters Basilica, Vatican City-Rome, Msikiti ya Makka , Madina na Msikiti ex-Kanisa Haggia Sofia Uturuki kwa utalii, curiosity na imani yangu na hapa TZ nimehudhuria ibada St Peters, St Joseph, St Alban kwenye ibada za sikukuu na matukio.
watanzania tunaishi kijamaa tumezaliana , kuoelana , kusoma na kuishi pamoja katika jamii zetu ndiyo maana tunahudhuria sherehe, misiba etc na wengi wetu matusi tunayoyaanadika humu hatuwezi kuyatamka mbele ya watu hao wanaotuzunguka iwe kwa Uislam au kwa imani nyingine.
Tuwe wavumilivu wote kwa kuonesha compassion na empathy kwa imani nyingine, hakuna imani mtu anayependa kuona imani yake inabagazwa akakaa kimya na kila mtu ana react tofauti. Tuache mijadala ya kidini isiyo na tija humu, kuna mengi ya kujifunza na kufundisha vijana wetu zaidi ya hizi chuki.
Daaah!!
Umeongea Kwa uungwana sana hakika wewe ni miongoni mwa watu wenye hekima Sana .
Hii ni zaidi ya hekima ndugu yangu.... MUNGU akubariki Sana mkuu
 
The underlying principle kwenye dini/imani zote ni DO AS YOU WOULD BE DONE BY
Asante sana.Ndiyo maneno tunapenda kueleweshwa.
 
Japo pia Wakristo tusome sana Biblia, Jana nimempa jamaa moja challenge kidogo akawa haijui Biblia, ikumbukwe shetani anajua sana neno na alikuwa anatumia neno kumjaribu Yesu, hivyo shetani hutumia Biblia kuwashinda Wakristo kwenye hoja.

Wapinga Kristo wakiwemo freemason, waislamu na hata wapagan hufaulu sana kushawishi Wakristo wasiosoma Biblia na kuishia kufuata mambo yao ya kuwapeleka jehanum.
 
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI

Ambayo yanakupeleka jehanam

Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye akasilimu, akauchamba Ukristo kila kona hadi Zanzibar akimtetea hadi Idd Amin Dada kuwa ni muislamu bora aliyeondolewa na Nyerere kwa agizo la kanisa.

Hapo akiwa Zanzibar. Wakristo tulipata shida, maana hatukujua lugha yenu ama vitabu vyenu ambavyo vimejawa na mazito lukuki. Ashukuruwe Dr. Kaisi aliyeenda kuusoma Uislamu Cairo Misri, akatuletea mazito. Ashukuriwe pia Simba Uranga aliyejitokeza kutwaa hoja kwa Kaisi na kusimamisha mnakasha wa kwanza pale Kawe. Waislamu walipigika kwa hoja wakakimbilia polisi kuzuia mnakasha na polisi wakasema Quran wala vitabu vya kislamu visitumike kwa shinilizo la Waislamu.

Kanisa likaingilia kati na wao wasitumie Biblia. Mwisho wakakosa cha kuhubiri ikabidi warejee kwa hoja. Maana mihadhara ya Waislamu hainogi bila Biblia. Tokea hapo, Waislamu hawana cha kumtisha Mkristo msomi, maana utandawazi umeleta vitabu kwa wepesi zaidi. Mdahalo nilioandaa katiks uwanja wa TP Manzese, Shafii alikataa vitabu ikiwemo Araiq al Maktum na Mkweli Mwaminifu akitaka Quran tu ndio itumike. Ni aibu kuogopa vitabu vyenu wenyewe. Msemo wa wahenga unasema usirushe mawe kwenye nyumba ya zege na chuma huku unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Wiki hii nimechokonoa kidogo Uislamu kwa vitabu vyao wenyewe, matusi yametapakaa kama mvua hapa na inbox na kunitishia maisha badala ya kujibu hoja. Wanajisaulisha kwamba wahadhiri wao kila siku wapo bize na Ukristo kuliko Uislamu. Tena wanausemea mabaya ikiwemo kumwita mtume Paulo ni shoga na alizalishwa mtoto anayeitwa Onesmo. Sisi wala hatuna muda wa matusi, zaidi ya kujibu hoja zao. Ingawa wapo Waislamu waungwana ambao wanavumilia na kujenga hoja ila ni kwa asilimia chache.

Muislamu

Quran inakutaka ujibu hoja kwa hoja na kwa hekima kama ifuatavyo;

1. Mjadala ufanyike kwa hekima na upole

Qur’an 16:125
"Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora..."

Aya hii inaonyesha kwamba mjadala unaruhusiwa, lakini usiwe wa ugomvi matusi au kejeli; unapaswa kuwa wa hekima na heshima.

2. Mjadala na Ahlul Kitab (Wenye Kitabu – Wayahudi na Wakristo)

Qur’an 29:46
"Wala msijadiliane na Wenye Kitabu ila kwa njia iliyo bora, isipokuwa wale wanaodhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu; na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja..."

Hii inaonyesha kuwa Waislamu waliruhusiwa kujadiliana na Wakristo na Wayahudi kwa heshima, na kwa njia bora isiyo na vurugu.

3. Mjadala wenye hoja za wazi

Qur’an 3:64
"Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lililo sawa baina yetu na nyinyi: tusiabudu ila Mwenyezi Mungu pekee, wala tusimshirikishe na chochote..."

Qur’an inafundisha mjadala wa kutafuta hoja ya msingi badala ya mfarakano.

Mimi

Nakuruhusu katika ukurasa wangu huu ukosoe imani yangu kwa hoja. Ukitusi au kutishia ni dhahiri umeshindwa hoja na itakuwa ni kwa hasara yako. Katiba yetu katika ibara ya 19 inaruhusu kutangaza dini, kuhama dini nk. Msikalie kutuita makafiri huku hilo neno linaweza kuwa juu yenu pia. Hoja yangu kwenu leo ni:

Uislamu ni Upagani wa kisasa uliopora Upagani wa Makureshi. Haya leteni hoja.
Mtuacheni jamani na dini yetu. Watu huku tunaendelea kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.

Jamaa mbishi wewe
Wewe hujui kitu hiyo mihadhara,ilianza tabora 1986/87 na watu wawili wa kigoma majina yamenitoka
Prof kaisi kwenye gazeti la msema kweli alikua mpotoshaji tu
Mfano anatoa aya inayoamrisha kuswali halafu anatoa ile aya isemayo ole wao wenye kuswali,kisha anadai Quran inajichanganya
Hamalizii aya zingine baada ya ole wao wenye kuswali
 
Pumba tupu,huji ukaya wazungu wanasikimu bila mihadhara,na makanisa yanageuzwa misikiti.
 
Wewe hujui kitu hiyo mihadhara,ilianza tabora 1986/87 na watu wawili wa kigoma majina yamenitoka
Prof kaisi kwenye gazeti la msema kweli alikua mpotoshaji tu
Mfano anatoa aya inayoamrisha kuswali halafu anatoa ile aya isemayo ole wao wenye kuswali,kisha anadai Quran inajichanganya
Hamalizii aya zingine baada ya ole wao wenye kuswali
Hana hoja huyu,huko ulaya maksnisa yanageuzwa misikiti,na hakuna mihadhara ya biblia.
 
Back
Top Bottom