Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,323
Reaction score
11,762
20260318_012800.jpg

Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed.

Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati kutokana na kuongezeka kwa operesheni za kijeshi. Viongozi hao walielezea wasiwasi wao juu ya athari kubwa zinazoweza kutokea kwa amani na utulivu wa kikanda, huku wakilaani kile walichokitaja kama uchokozi wa Iran unaolenga nchi za jirani. Walisisitiza kuwa vitendo hivyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi, sheria za kimataifa, na tishio la moja kwa moja kwa usalama wa ulimwengu.
20260318_011410.jpg

Hata hivyo, picha za mkutano huu zimezua mjadala mpana na hisia mseto miongoni mwa Waislamu kote duniani, hasa ikizingatiwa kuwa ziara hii imefanyika katika kipindi kitukufu cha mwezi wa Ramadhani. Kuonekana kwa viongozi hao wakiwa mbele ya meza yenye vyakula na vinywaji wakati wa mchana kumeibua maswali na ukosoaji kwenye majukwaa ya kijamii. Kwa waumini wengi, kitendo hicho kimeonekana kwenda kinyume na heshima ya faradhi ya saumu, ambayo ni nguzo muhimu ya Kiislamu inayowataka waumini kujizuia na kula au kunywa tangu alfajiri hadi machweo.

20260318_012649.jpg

Maono ya Waislamu wengi mtandaoni yameakisi mshangao na wakati mwingine masikitiko, wakijaribu kupatanisha nafasi ya viongozi hawa kama walezi wa maeneo na tamaduni za Kiislamu na taswira ya kutofunga hadharani. Ingawa kuna mazingira ya kisheria (kama vile safari) yanayoweza kumruhusu Muislamu kufungua, wengi wamehoji busara ya kuweka picha hizo hadharani, wakihisi kuwa inatuma ujumbe wa kupuuza uzito wa mwezi huu kwa umma wa Kiislamu unaopitia changamoto mbalimbali za kiimani na kisiasa kwa sasa.

20260318_012706.jpg
 
View attachment 3559323

View attachment 3559322

View attachment 3559324

View attachment 3559325
Miislam mieusii tii kina adriz Ritz Makebo na Munch wa Annabelle eti itamaindi na misijdah yao mikubwa kama chapati kwenye paji zao nyeusi.
 
Jagina na Adiosamigo wakiona hii watamind
 
hahaha vs tanzagiza utamkuta mtu kalala kwenye mkokoteni njaa oops sorry swaumu imeshika hata maji hawezi kunywa anapiga mihayo kazi imesimama hawezi kusukuma mkokoteni mpaka jioni na hiyo ni mwezi mzima, poor guy ...
 
Mjadala mkali unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa waislamu kuchukizwa kwa viongozi wa nchi za Ghuba kuonekana kula na kunywa mchana wakati wa mfungo.

Ukizingatia nchi hizo zinasheria kali zimeweka watu kutokula mchana wakati wa Ramadhan.

Kitendo hicho kimeeauma na kuwakasirisha waislamu wengi.

Mijadala mengine ambayo ilishawahi kuibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa kutoka Asia na Afrika ni wasichana wadogo walivyomchezea Trump nywele zao bila hijab. Kitendo kilichowafanya hadi waislamu weusi tii Afrika kushikwa na ghadhabu kali.

Screenshot_20260318_192121_Facebook.jpg

adriz de mbusii
 
Pia mijadala mengine iliyowahi kuwa gumzo kutoka kwa waislamu kwenye mitandao ya kijamii ni kukerwa kwa kitendo cha mmisri mchezaji wa Liverpool Moh Salah kusherekea Kristmas kwa kuwatumia kheri.

Pia mjadala waislamu kukatazwa kumuombea Jotta wa Liverpool alale salama.

Lamine Yamal, Benzema, Dembele na Ashraf Hakimi walikumbushwa kila wakifunga goli wasujudu.
 
Mjadala mkali unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa waislamu kuchukizwa kwa viongozi wa nchi za Ghuba kuonekana kula na kunywa mchana wakati wa mfungo.

Ukizingatia nchi hizo zinasheria kali zimeweka watu kutokula mchana wakati wa Ramadhan.

Kitendo hicho kimeeauma na kuwakasirisha waislamu wengi.

Mijadala mengine ambayo ilishawahi kuibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa kutoka Asia na Afrika ni wasichana wadogo walivyomchezea Trump nywele zao bila hijab. Kitendo kilichowafanya hadi waislamu weusi tii Afrika kushikwa na ghadhabu kali.

View attachment 3559711

adriz de mbusii
Kama dhambi zinakuwa za kwao peke yao hao wengine makasiriko ni ya nini? Ingekuwa kula kwao kuwasababishia Waislamu wote kupata dhambi makasiriko yao yangekuwa na tija.
Vipi kama wana peptic ulcers(vidonda vya tumbo) na wamekuwa exempted kufunga kwa sababu ya matatizo ya kiafya? Vipi kama hiyo siku watakuja kuilipia baada ya Ramadhan kuisha? Je vipi kama hawana imani katika dini kiasi cha hao walalamikaji wanavyolazimisha wawe nayo?
Wasilolifahamu ni kwamba hawana mamlaka ya kumpangia mtu yoyote namna ya kuendeshea maisha yake and the most hilarious part wanalazimisha kuwapangia maisha watu ambao hawafahamiani nao na hawana mamlaka juu ya maisha yao.
 
Back
Top Bottom