NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 647
Nimewamiss sana wakongwe wa JF enzi hizo akina NGULI , gambalanyoka , Lunyungu etc.
Enzi hizo thread ikianzishwa ni thread kweli.
Mkuu nashukuru Kwa acknowledgement mimi nipo nakuwa msomaji zaidi Kwa vile JF kumekuwa na vurugu sana.
Last edited by a moderator: