Waislam iogopeni dhambi ya kitimoto

Waislam iogopeni dhambi ya kitimoto

Status
Not open for further replies.
Mmekosa ya kusema humu sasa mnatafuta chokochoko pyuuuuu hamumpati mtu mso na haya nyie
 
Jamani! Mimi sisemi uongo...Waislamu wengi wanakula Kitimoto...Kipindi nipo chuo ma-best zangu wa Kiislamu tulikuwa tunapiga nao vizuri tuu..

Watakuwa waislamu jina hao...kula kitimoto kwa muislamu sio tu ni dhambi bali pia ni Haramu. Ni kama ilivyo mtu kufanya zinaa na dada yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom