Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,550
- 1,422
Habari za muda huu waungwana,
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya suala hili la kula nguruwe (kitimoto) moja kati ya mambo yanayonitatiza ni kama:
Je nguruwe ndiyo mnyama pekee aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu au kuna wanyama wengine? Kama ndiyo mbona nguruwe ndiyo maarufu?
Je dhambi kama kuzini, kuua, kulawiti, kuroga nk. Ni dhambi ndogo kuliko kula nguruwe?
Kwa kumalizia,Je nchi ya Saud arabia ikiamua kuruhusu ulaji wa kitimoto kwa wageni kama ilivyoruhusu unywaji wa pombe inaweza kutengwa na nchi zingine za kiarabu? Kama jibu ni ndiyo je pombe ni halali na kitimoto ni haramu?