mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Wanacholalamikia ni hiki kifuatacho:-
1. Baraza linafelisha makusudi Waislam na shule zao.
2. Vitengo muhimu wapo Wakristo wakereketwa.
3. Wakuu wa shule Waislam wapinga matokeo.
4. Wataka iundwe tume kuchunguza matokeo 2012.
Kwa maelezo hayo hapo juu hivi tunajenga au tunabomoa?
Sidhani kama hawa Waislam wana malalamiko ya msingi kwenye hili. Waelewe adui wa Waislam ni wenyewe waislam.
Habari za kupikwa kama hizi hazileti tija kwenye Taifa la Tanzania hata siku moja. Habari haina facts hata kidogo.
What I think….There is………. Anyway….."Inferiority complex". Mhariri na Mwandishi wa habari hii wana tatizo kubwa, sasa sijui kama wanaweza kutupatia ushahidi. Je, serikali iko wapi kwenye hili au inataka mpaka maafa yatokee.
Hili gazeti la AN-NUUR hata siku moja haliwezi kuandika maendeleo ya Waislam kwa faida ya wailsam wao kila siku kuandika habari za Wafuasi wa Mtume kuonewa sasa sijui wanaupeleka wapi Uislam.
Ingekuwa vema tungeacha kushabikia ujinga maana hata ukimpatia mtoto asiyejua kusoma na kuandika Division One kwa ajili ya kuwafurahisha akina Masheikh uchwara ambao wao kila siku kazi yao kulalamika tu pasipo na msingi. Je, tunakuwa tunatengeneza nini kama si bomu.
Waislam liangalieni hilo gazeti la An Nuur litakuja kuwagombanisha Waislam na watu wa Dini nyingine.
Yangu ni hayo tu.