Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Wanacholalamikia ni hiki kifuatacho:-

1. Baraza linafelisha makusudi Waislam na shule zao.
2. Vitengo muhimu wapo Wakristo wakereketwa.
3. Wakuu wa shule Waislam wapinga matokeo.
4. Wataka iundwe tume kuchunguza matokeo 2012.

Kwa maelezo hayo hapo juu hivi tunajenga au tunabomoa?

Sidhani kama hawa Waislam wana malalamiko ya msingi kwenye hili. Waelewe adui wa Waislam ni wenyewe waislam.
Habari za kupikwa kama hizi hazileti tija kwenye Taifa la Tanzania hata siku moja. Habari haina facts hata kidogo.

What I think….There is………. Anyway….."Inferiority complex". Mhariri na Mwandishi wa habari hii wana tatizo kubwa, sasa sijui kama wanaweza kutupatia ushahidi. Je, serikali iko wapi kwenye hili au inataka mpaka maafa yatokee.

Hili gazeti la AN-NUUR hata siku moja haliwezi kuandika maendeleo ya Waislam kwa faida ya wailsam wao kila siku kuandika habari za Wafuasi wa Mtume kuonewa sasa sijui wanaupeleka wapi Uislam.

Ingekuwa vema tungeacha kushabikia ujinga maana hata ukimpatia mtoto asiyejua kusoma na kuandika Division One kwa ajili ya kuwafurahisha akina Masheikh uchwara ambao wao kila siku kazi yao kulalamika tu pasipo na msingi. Je, tunakuwa tunatengeneza nini kama si bomu.

Waislam liangalieni hilo gazeti la An Nuur litakuja kuwagombanisha Waislam na watu wa Dini nyingine.

Yangu ni hayo tu.
 
Huu wimbo wa afande sele...sijuhi jina la wimbo, kuna maneno haya:
Mbele yako..nyuma yangu...! Mbaya wako au tuseme adui yako namba moja ni wewe mwenyewe...hasa MAWAZO yako. Njia rahisi ya kumpoteza mtu ni kuharibu mawazo yake.
 
Sina uhakika kama waislamu wote wana mawazo duni kama hayo yalioandikwa katika hilo gazeti la udaku ambalo limevaa mwamvuli wa mtetezi wa uislamu. Haya yalioandikwa humo ni mawazo ya wapuuzi wachache na kama ndio msimamo wa waislamu wengi basi kazi ipo!!
 
mkuu nina uthibitisho wa hli swala... Baada ya matokeo ya kidato cha sita 2012 kutoka nilikuwa kwenye daladala pembeni yangu walikua wamekaa wazee wawili wa kiislam mmoja akamuuliza matokeo ya binti yake akamjibu kuwa kafaulu na alikuwa na div 1.. Lakini walivyoendelea na mazungumzo huku wakisema shule zao za kiislam znafanyiwa hujuma balaza la mitihani huku wakitaja shule walizokuwa wanaamini lkn znafanya vibaya.
 
kagazeti kenyewe kanaandikwa kienyeji sijui hata kama kina mhariri na waandishi wake kama wamesoma sana wameishia darasa la nne.Hakina mpangilio wa uandishi ni malalamiko yasiona msingi kimejaa
 
mASKINI BAATI MBAYA ALIYEWALISISHA HULKA HIYO ALISHA KUFA.

AKILI NI MALI. DAH
 
Shule za wakristo ni zipi?na za waislamu Je?
Mbona hawajiulizi shule za Binafsi wanafaulu sana kuliko za serikali?
tuna safari ndefu sana kama Taifa.
 
Wanacholalamikia ni hiki kifuatacho:-

1. Baraza linafelisha makusudi Waislam na shule zao.
2. Vitengo muhimu wapo Wakristo wakereketwa.
3. Wakuu wa shule Waislam wapinga matokeo.
4. Wataka iundwe tume kuchunguza matokeo 2012.

Kwa maelezo hayo hapo juu hivi tunajenga au tunabomoa?

Sidhani kama hawa Waislam wana malalamiko ya msingi kwenye hili. Waelewe adui wa Waislam ni wenyewe waislam.
Habari za kupikwa kama hizi hazileti tija kwenye Taifa la Tanzania hata siku moja. Habari haina facts hata kidogo.

What I think….There is………. Anyway….."Inferiority complex". Mhariri na Mwandishi wa habari hii wana tatizo kubwa, sasa sijui kama wanaweza kutupatia ushahidi. Je, serikali iko wapi kwenye hili au inataka mpaka maafa yatokee.

Hili gazeti la AN-NUUR hata siku moja haliwezi kuandika maendeleo ya Waislam kwa faida ya wailsam wao kila siku kuandika habari za Wafuasi wa Mtume kuonewa sasa sijui wanaupeleka wapi Uislam.

Ingekuwa vema tungeacha kushabikia ujinga maana hata ukimpatia mtoto asiyejua kusoma na kuandika Division One kwa ajili ya kuwafurahisha akina Masheikh uchwara ambao wao kila siku kazi yao kulalamika tu pasipo na msingi. Je, tunakuwa tunatengeneza nini kama si bomu.

Waislam liangalieni hilo gazeti la An Nuur litakuja kuwagombanisha Waislam na watu wa Dini nyingine.

Yangu ni hayo tu.
Hakuna mantiki yoyote hapo, ni hoja ya kutaka kuwagawa watu na kupandikiza chuki ya udini
 
'Baraza la mitihani la kadhi'
Ajabu kubwa ni kuwa majority ya rafiki zangu ni waislamu na hawana mitazamo ya hivi. Sijui tatizo linaanzia wapi?
 
Haya ni mambo ya kitoto. Tangu juzi nimewaambia Pro-Manung'uniko sheria ipo wazi kwa mtu asiyeridhika na matokeo. Kama mtu anaona mtihani wake haukusahihishwa vyema ana haki ya kukata rufaa urudiwe kusahihishwa mbele ya mashahidi.

Vibabu vinavyocheza bao msikitini baada ya ibada vina muda kweli wa kuchungulia madaftari ya watoto wao au ni ujinga tu wa kuja kulalalama baada ya watoto kutaga?

Kama kweli mna hoja twendeni baraza tukasahihishe upya mitihani yenu, tuanze na wa Mwanaasha kudadadeki zenu kama hamkuumbuka.
 
Majitu kutwa nzima yanashinda misikitini yakiimba kaswida....unategemea kuna kufaulu mitihani ya necta hapo?
 
Hapa tatizo ni ufinyu wa kufikiri kwa baadhi ya waislam.Mbona awalalamiki kwanini shule za kata na serikali zinafelisha kuliko za binafsi.Kama vipi wakakate rufaa waone kama wameonewa au la pale pepa inavyo sahihishwa mbele yao.
 
Waislam weng wamezoea kulalamika kwamba wanaonewa. Hiv vyombo vya dola hamna? C waende wakakate rufaa? Wanaosahisha mitihan wote ni wakristo? Malalamiko yao hayana mantiki kuna mada 1 niliikuta hum jf et 'chuo kimoja cha kiislam vyuo kibao vya kikristo' mlitaka wakristo wawajengee vyuo? Au mlishawah kuanzisha chuo tcu wakawakatalia? Nonsens!!
 
Back
Top Bottom