Waislam (batamiki) kuisalia dua chadema

Hao Mashekh hawaujui uislam, Ni Njaa tu na ushabiki wa Kipumbavu ndo zinawasumbua.
Kwa kuanza Hiyo J4 Chadema watakuwa washachukua Igunga, Na chupi itawavuka next week
 
Masheikh kuna kipindi nadoubt kuhusu uelewa wao, hivi inakuwje mambo madogo kama haya yanawachanganya kiasi hicho! Mbona hawamsemi huyo DC hana ndoa na anazini mpaka akapata watoto hao wote wanne? Kwa mujibu wa dini ya kiislamu mwamamke/mwanaume akioa/kuolewa na mtu wa dini tofauti akawa hajasilimu kisheria hawana ndoa hata kama watafunga ndoa ya bomani machoni pa Mungu wanazini, wameichunguza ndoa ya DC mpaka wanakimbia kigezo kidogo hicho cha hijjabu tena haikuwa hijjabu bali ushungi!!! Wanakimbilia kuomba dua utafikiri wao WANAPOKEA DUA NA KULAANI! Wao wanaomba na Allah anatenda, wasitishe watu. Ni dua za watu watatu ndizo hazina pazia kwa Allah 1.0 Dua ya mama kwa mtoto 2.0 Dua ya muumini aliyefunga kabla hajafuturu na 3.0 Dua ya mtu aliyedhulumiwa, sasa wao wako wapi katika mafungu hayo mpaka watishe watu. Wacha waombe, Allah atajibu kama ni dua yao ina mingi. Maombi mengi hayajibiwi kutokana kutokana na sababu nyingi mojawapo ikiwa ni uchafu wa waombaji kwa maana ya madhambi.

Hivi na Kitabu cha Imani ya kiislamu kiko kigeugeu namna hii hii
 
Ukweli siku zote unauma, kama ni suala la kukemea kitendo cha cdm na siyo kujiingiza kwenye kampeni za kuisaidia ccm Igunga, iweje sheikh atamke msikitini kuwakataza watu wasichague Chadema? Moja kwa moja hapa waislaam wamejivika nafasi ya chama cha siasa.
 
Hakuna lolote zaidi ya njama za ccm na cuf.Ni wazi cuf wanatumia kila njia kuipiku chadema huku bara.Hao mashehe wote ni wafuasi wa cuf sasa wanataka kutisha waumini wao wajiunge cuf.Tusubiri na tuone ni Mungu yupi mwenye nguvu kati ya BAALI na YEHOVA.
 
Magwanda kushnei, ngoja muoteshwe hydrocele. Mimi waislamu huwa nawaogopa sana hasa tangu wamfanyie Mrema kwakweli sina hamu nao tena.

Mh. Lyatonga Mrema ni Mbuge aliyegombea nafasi yake katika ushindini wa juu, lakini aliweza kuibuka kidedea katika uchaguzi huo... kama walimsomea ALBADILI mbona alipata ubunge? na sio ule wa kupewa na JK, alichonacho sasa ni ugonjwa kama magonjwa mengine na wala sio kwasababu ya waislam...
 
Hivi,hii nchi na matatizo yote 2lionayo hawa jamaa hawaja yaona,i.e njaa,maajali kl cku,mauaji ya raia waco na hatia etc,kwa nn wac2mie mfumo kama huu kumuomba mungu atuepushie haya...MUNGU na atuepishie mbali na binadamu wenye hila mbaya kwenye hii nchi
 
Geoge Bush juniour na senior wamewapa kichapo cha ukweli, kuwait, iraq na afganistani ambako kila mtu ni shehe, kanzu balakashea zimemwagiwa vinyesi kwa mabom, gadafi muislam kadhalilishwa na nato mpaka sasa anaishi kwenye mashimo kama panya, mtu alotujengea msikiti mkubwa kabisa pale dodoma, kwa kushindwa ku-adress matatizo yao sahihi kwa mungu wamemuomba mungu walipize kisasi kwa adui yao, hawajui adui yao kumbe yu miongoni mwao, ona wanavyojilipua kwa mabomu wao kwa wao, bush anakula kuku tu huko texas. Adui wa waislam na watanzania wote ni ccm. ngoja tuone wanavokosea tushuhudie minyukano. ccm inasababisha mabinti wa kiislamu kujiuza, ccm inasababisha mke wa mwislamu naye ni mwiskamu kuziniwa na kafiri mwigulu wa CCM, halaf hawa mashehe eti hawamjui adui yao!!!!! kazi kwa waamini wa kiislamu.
 
Jamaa hamna kitu hawa, swala halina mantiki besides liko mahakamani kimsingi halipaswi kuzungumziwa tena. Ajabu serikali imekaa kimya dhidi ya matamko/vitisho hivi inathibitisha ina maslahi nayo
 
Hizi taasisi zingine too much eti Taasisi za Mikutano ya Kiislamu (BATA MILK), kesho tutasikia Taasisi ya Maandamano ya kiislamu TAMAKI nayo imetoa tamko.

Zitakuja nyingi tu kutoa matamko mara utasikia (TAWAWA) nayo imetoa tamko.
 
Magwanda kushnei, ngoja muoteshwe hydrocele. Mimi waislamu huwa nawaogopa sana hasa tangu wamfanyie Mrema kwakweli sina hamu nao tena.

We Mungu wa Yakobo unamfahamu? Hakuna mtu toka chadema atakayedhurika na dua la kuku,hiyo dua kama hawana kazi ningeshauri isiwe siku saba iwe miaka saba na wafunge usiku na mchana ili bajeti zao majumbani zipungue ila nikichekesho sana,wengine tunao
 
Mungu wao atakuwa tofauti na Allah wetu. Wanadhani Allah nae anahusudu njaa zao. Wanatumika hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom