Jamani wenzetu waislamu tuwaombee mazuri wakati wao wanajiandaa kuiombea CHADEMA mabaya.Lakini nitoe angalizo kwamba hakuna Mungu wa hivyo wawe wazi tu kwamba wanajiandaa kuloga-kufanya uchawi.
Hivi kweli kuvuliwa ushungi kwa mhalifu imefikia huko?kuna waislamu nawaheshimu na ni marafiki zangu,ngoja niulize wana JF.
WAISLAMU:wanaingia baa wamevaa vibalagshee(sijui kuandika sahii mniwie radhi) na wanakunywa pombe,wanaingia baa wamevaa baibui na wanakunywa pombe,wanavaa baibui plus hijjab wanaenda nyumba ndongo,wengine wengi tu tunagonga nao Kitimoto tena wengine walishawahi kuwa ma-imam na wanaijua quran.lakini vipi viongozi wa CCM ambao ni waislamu lakini ni mafisadi wa kutupwa na wanasababisha kina mama waja wazito na watoto kufa kwa kukosa dawa,Mwigulu Nchemba aliefumaniwa na mke wa ustaadhi,watu wengine tumekuwa tukinywa nao pombe wakiwa wamevaa kanzu,jamani ni mengi mno Je hayo yote hayaudhalilishi uislam?au muislam ni mpaka awe DC tu ndo mseme?au mwislamu ni mwana CCM tu?Niliwahi kusema hapa janvini,vipi kuhusu ulaghai mliofanyiwa kuhusu mahakama ya kadhi?mbona hamjipangi kusoma dua?
Hata hivyo haya ni mambo ya kitoto,hivi kweli waislamu wa Tanzania ndio wenye uchungu sana na uislamu tena umechochewa leo kwa kitendo cha mhalifu DC wa Igunga ambaye alikuwa anafanya kitendo cha uvunjifu wa amani.
Hao waarabu ambako ndiko dini hii ilikoanzia hawajui kuomba dua?au wameshaomba hiyo dua kiasi kwamba Marekani imefilisika kuliko TZ,mbona hamujipangi kuiombea dua Marekani?si inawachapa kila siku,achani vitisho,hiyo sio dua semeni uchawi,lakini kwa faida yenu kila mtu amezaliwa siku moja na atakufa siku moja,na kila mwanadamu ana-generation yake hivyo hamjui hao viongozi wa CHADEMA walitoka wapi.
Na hilo mnalotumwa na CCM litawaponza mtakuja kulijutia na magamba mnayoyasifia na kuyasaidia.kama hao CCM wenu ni wema na wanaitendea haki nchi hii kuna haja gani wote wamehamia Igunga?
Bwana ee nyie logeni tena naona mnachelewa kwanini mnasubiri J4