MachoMakavu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 367
- 44
No wonder tumefikia kufananishwa na nchi za kufikirika..Tripolitania!
Ndugu yangu jisemehe wewe na nafsi yako, eti Watanzania wengi wanataka mabadiliko huu utafiti umeufanya lini na wapi?
kiongozi yeyote akisifiwa na wazungu ujue wanafaidika nae.na wazungu hawana rafiki wa kudumu bali wana maslahi ya kudumu.
Nadhani wapo kwa ID zingine kama huyu MAMA POROJO nina mashaka naye!!!!!Wasubiri Ritz,Rejeo,MAFILILI &co watakuja hapa mda si mrefu na watakujibu vizuri sana! ila usiwe na hasira
kikwete ni mtu makini ila ana wasaidizi mzigo.
Una shida gani na rangi rangi si ni kitu kidogo hicho, mbona yanayo kuumiza ni mengi lakini husemi uko kimya tuu?????????mkuu ni vema ukaacha kutumia bold na rangi rangi...unatuumiza macho...
I wish asome hizo comments labda ataamka usingizini!
wee nawe utakuwa muha naona....mbona mbishi namna hiyo?? elewa rangi za bold zinaumiza macho bana....huwezi kuondoa bold na rangi rangi mazee? watupa shida kusoma mabandiko yako.....unakuwa kama salva bana...Una shida gani na rangi rangi si ni kitu kidogo hicho, mbona yanayo kuumiza ni mengi lakini husemi uko kimya tuu?????????
Ujinga ni moja sababu zinaloligharimu hili Taifa, na huyu ni miongoni mwa wajinga hao, soma pale juu kuna link ingia mwenyewe ujisomee, wewe kwa uvivu wako wa kufikiri unadhani hiyo ni copy & paste ya facebook!!chanzo cha hii kitu sio reliable,kwani inaonekana kuna kitu kimebandikwa kutoka kwenye facebook kikaekwa hapa.huu ni uzushi tu hamna lolote.
chanzo cha hii kitu sio reliable,kwani inaonekana kuna kitu kimebandikwa kutoka kwenye facebook kikaekwa hapa.huu ni uzushi tu hamna lolote.