Elections 2010 Waimbaji wa makundi ya dini kushiriki kampeni

Aende akaimbe basi na kwenye kampeni za Chadema, CUF etc. sio Chama Cha Majambazi tu yeye si mtumishi wa mungu habugui wala hachagui. Hapo amechemsha. Huwezi kutumikia mabwana wawili mungu na pesa/siasa.
 
Tatizo kubwa ni kwamba Rais aliye madarakani sasa hivi ni mgombea wa CCM, hivyo si raisi kutenganisha mambo haya. Nionavyo mimi hao viongozi wa dini walifika hapo kumlaki kama Rais na si mgombea wa urais!

HAPANA NAKATAA KABSA.
Jakaya, yuko kukampeni na sio ziarani kiserikari japokuwa anatambulika kama rais wa JMT. tukubali tu kuwa ccm wanachanganya dini na siasa
 
Hivi vikundi vya kwaya za dini kama wanaimba nyimbo za dini basi ni tatizo lakini kama wametunga nyimbo za kisiasa za CCM sioni shida. Shida kama wataanza kuimba nyimbo za dini na kumwiingiza JK, hapo ni issue kubwa tu! Mfano, "Yesu tunakushukuru kwa kutuletea Rais kijana na handsome, Dr. JK, kuwa kiongozi wetu bora, Mungu twa kushukuru, Mungu twakuomba umpe afya njema, na kwa maombezi ya Bikira Maria mama wa Mungu..." La! Kama ni wimbo aina hii basi Advocate Tendwa, Jaji Lewis na wengine lazima waindoe CCM kwenye kinyang'aniro hiki mara moja!!!!!!!!!

Mwanamayu, reply yako # 7 umesema tatizo ni kutenganisha kati ya Rais na Mgombea!! Nakubaliana na wewe kiasi, kwasababu alipokuwa jangwani alikuwa katika kampeni na mwanza alienda kwa nia hiyo na sio kiserikali. Anyway!
Sasa unaposema wanakwaya kama wametunga nyimbo za kisiasa ni ok, huoni hapo unarudi kule kule kuwa utatenganisha vipi nyimbo za dini na siasa, I mean there is a fine line between. Flora mbasha akisema ''tumshukuru kwa yote anayotutendea'' , utajuaje kuwa ni kumshukuru JK au mungu. Mkuu Mamuya Flora akiimba '' tumsifu tumsifu kwa uwezo wake, nguvu zake ndio faraja na amani kwetu'' hapa ninani anaongelewa, JK au mungu.
 
Huyu dada kapoteza dira kinamna flani. Wala hana upeo niliodhani anao hapo kabla. Nadhani pia inachangiwa na handsome wake ambaye ni white in the head. Sio yule flora wa 'jipe moyo'. Yupo kikazi zaidi kwani siku hizi ana wacheza shoo wakali kuliko wa akudo. Pia anaimba mduara wa kiimani siku hizi. Hivyo msimshangae
 
flora mbasha yule dada kakaa kibiashara zaidi.yeye ndiye anayetumiwa sana ktk hizi kampeni za CCM.yule ni msanii/mwanamuziki wenzie ni watumishi.
 
........Huyu mbona yupo kibiashara zaidi!!! Usione watu wanakimbilia kuimba nyimbo za injili wengine ni kazi hizo jamani.

Yeye na mumewe kuimba hiyo ndio kazi yao inayowaweka mjini......hivyo msione ajabu kuamua kujiingiza kuimba hadi kwenye siasa hiyo yote ni kutafuta pesa.
 
........Huyu mbona yupo kibiashara zaidi!!! Usione watu wanakimbilia kuimba nyimbo za injili wengine ni kazi hizo jamani.

Yeye na mumewe kuimba hiyo ndio kazi yao inayowaweka mjini......hivyo msione ajabu kuamua kujiingiza kuimba hadi kwenye siasa hiyo yote ni kutafuta pesa.

Wananikwaza sana hao! Yerusalemu mpya hawataiona
 
Ni mjukuu wa Nchungaji Mozes Kulola wa Tanzania Assemblies of GOD muulizeni askofu wake mkuu Dr Barnabas Mtokambali ameridhia hali hiyo?

.........Huyo Moses Kulola alikuwa askofu mkuu wa E.A.G.T na sio T.A.G......na huyo Mtokambali ni askofu mkuu wa T.A.G. Hayo ni makanisa mawili tofauti japo yote ni ya kiroho. Na huyo Flora nadhani anaabudu hilo kanisa la babu yake E.A.G.T.
 
mimi nilishamshitukia siku nyingi huyu dada,mie wala sishangai najua ni mjasiriamali hivyo msimlaumu sana yuko kazini mwenzenu,kwanza hata sipendi manyimbo yake yamekaa kimcharuko labda jipe moyo lkn nyingine anaimba kwa pupa mara mchiriku mara aimbe mduara mara aimbe taarabu aah hajatulia.
 
Nimempigia simu Dakta Slaa hajapokea lakini nilitaka nimshauri aende ZANZIBERI akakodi kundi la KASWIDA lije limwimbie jumapili jangwani kuleta burudani na kukifanya chama kikubalike na waislam

Another can full of worms has been opened!

ANTIBAYOTIKI
Join Date Tue Aug 2010Posts 4
 
Na alivyojichubua sasa utafikiri anataka kuwa mtasha!!

.........Tena kaupitisha haswa mkorogo hilo halijifichi........kipindi anatoa ile single yake ya kwanza ya jipe moyo hakuwa na light skin kama alivyo sasa. Tena kipindi hicho nilimuona live pale mikocheni B Assemblies of God alikuwa na rangi ya kawaida tu maji ya kunde.Kazi kweli kweli sijui hawaoni aibu wanavyojikoboa.
 
Ndio matatizo yenu. Lkini lazima muelezwe ukweli. Udini Upo kwa Dakta slaa lakini Kikwete akiimbiwa mapambio na wainjilishaji, sio mdini, MAPEPO WAKUBWA NYIE! Mshindwe na mlegee!

Huna unachojua mazee umeingia kujibu hii kitu! Lol CUF ni misikitini tu....na Jihadi zenu!
 
.........Tena kaupitisha haswa mkorogo hilo halijifichi........kipindi anatoa ile single yake ya kwanza ya jipe moyo hakuwa na light skin kama alivyo sasa. Tena kipindi hicho nilimuona live pale mikocheni B Assemblies of God alikuwa na rangi ya kawaida tu maji ya kunde.Kazi kweli kweli sijui hawaoni aibu wanavyojikoboa.

Haswa besti, yani zamani wakati wa 'jipe moyo' alikuwa hajachange..ila bado naupenda sana ule nyimbo yake hiyo na ile ya 'maisha ya ndoa' mzuri sana!..tatizo kama ulivyosema, amekuwa kibiashara zaidi ya kiroho!..lol
 
Labda wameona ili mkuu asianguke tena basi watafute mwimbaji wa kilokole aimbe kwanza kabla mkuu wa kaya hajahutubia.
All in all it is disappointing kuona mwimbaji wa nyimbo za injili anashabikia kwa uwazi mgombea mmoja. Mwimbaji wa injili ni kama mhubiri na ukiona mhubiri anapanda jukwaani kumpigia kampeni mtu basi ujue hapo injili inaanza kuchakachuliwa. Huenda binti ameahidiwa viti maalumu na akaamua kumsaliti Bwana kama Yuda Iskariote

hapa tena ndio kondoo wanavyoweza kujibagua kutoka kwenye kundi la mbuzi!
kwa kuwa hamuwezi kuwatumikia mabwana wawili......!
 
FLORA MBASHA na mumewe ni wasaliti wakubwa wa ukristu kwa kwenda kumuimbia mkwere ama kweli njaa haina jeuri hawa kinachowasumbua ni kukosa hata kodi ya nyumba wanaenda kukengeuka ovyo ovyo na kukata mauno, mijitu kama hii ni taka taka kabisa.
 
Mungu atawaadibisha hapa hapa maana Wanatudhalilisha sana sisi Wakristo! Hata ndugu zangu Waislam hawafurahii kuona kitu kama hiki maana inakwaza kiimani!
 
Back
Top Bottom