Piga chini mmeo, njoo nikuoe.
You have a way of making me smile.
Thanks sweetheart.
Good day.
Wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.
Nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
Kuna siku moja mlimani city nakumbuka niko na wife alikuwa mbele dada mmoja aisee dada ana shape na alikuwa amevaa zile nylons/skin tyt.
Nilijikaza ila nikahisi kama napata tumbo la kuharisha.
Nilianza kuhisi kizunguzungu maana sitaki kuangalia lakini macho yananipeleka kule.
Wife ananiongelesha simuelewi na simsikii ingawa siangalii kule.
Ni kama nilipatwa na jini hivi.
Pumzi na moyo ulikuwa unaenda mbio maana kuangalia siwezi(wife yuko pembeni) na nataka kuangalia.
Nachokumbuka mke wangu alinifinya viganja na kunibusu shavuni pembeni, akaniambia nanukuu 'baby angalia tu naona unakosa amani.'
Aisee niklitupia macho mzima mzima na tumbo likakata.
Dada akaingia movie sisi tukakunja kushoto baadae nje gambe.
Since that day wife tena akiona ananishtua.
You are so wrong.
Wanaume bwana sio kwamba ni senseless creatures like we like to think/assume.
Ukute hata mdada kama huyo hayupo akilini.
Hata wewe haijawahi kukukuta you are looking at something/ someone but your mind is not there?
Of course sio kila mara but pia ningependa kukueleza sometimes they are just comparing in a positive way. There is a reason you are sitting on the co-drivers seat, its because he wants you-as you are- with him.
Kumbuka wanasema ' a bird in hand is worth two in the bush'
dah,hata wewe?
sijaelewa hata.
What does it mean?
Samaki huvuliwa kwa chambo so sababu anapenda chambo samaki akiona chambo majini hawezi ipisha ipite tu lazima japo aonje!!!!
I wish all ladies could adopt these positive views. Ndoa si uadui hata kutomtazama mpita njia na wala isiwe adhabu kwa mume kuangalia chini while walking along or in night clubs ili asije akam-udhi mkewe kwa kuangalia aliye pembeni yake.
Na kiukweli hili ni tatizo kubwa kwa wanawake walio wengi. You get out peacefuly with ur wife lakini wakati wa kurudi nyumbani mmenuniana kisa ugomvi wa kuangalia other ladies along the way.
Ukiona waifu anakutaiti you simply get creative. Kwani simu yako haina front camera? Ukiona mzigo ulee...unaisogeza usoni, akipita tu unalenga shabaha....tena hapo waweza hata kufanya archiving for future reference.....
bait ndio chambo?
Kwa kweli more lessons needed.
Uzuri wa msemo huo it goes both ways... not gender sensitive.
Au sio?