Waifu ananitegea!

Waifu ananitegea!

She is nuts.

My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.

Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.

Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.

Dah,nimetokea kukupenda bure dada yangu.
 
Wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.

Nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?

Sasa unachoangalia ni nini kama na mkeo pia anacho au uko kwenye research ya ma inye?
 
Inasaidia. Sasa baba akianza kusifia nawe mwenzangu na mimi umechukua sura ya baba yako mapigo ya moyo si yataenda mbio

lols. Haya bwana. Ila mie nimejaliwa tu kujiamini.
 
No. Nasemaga Mamamiaaaaaa. Kimoyo moyo.

It takes alot for a woman to drop her panties just like that.

Even to men, though our ladies think whenever you look to another woman means you in for her. Wrong notion absolutely!
 
Mimi huwa nayaangalia mawezere bana.. sema siku akinifuma nitakoma
 
Mwaya it hasn't been a bed of roses, no marriage is, but namshukuru Mungu kwa ile willingness ya pande zote kujitahidi kurekebisha mapungufu yaliyopo and keep growing deeper in love.

Da! I wish u 2be my wyf yaan mpaka bac
 
Even to men, though our ladies think whenever you look to another woman means you in for her. Wrong notion absolutely!

It doesn't necessarily mean you are in to her.

Ila jamani some men are so attractive.

Kama OS.

(asipaone hapa please).
 
dah mkuu,mbona avatar haina makosa kabisa?
haina makosa coz amevaa free style...wasiwasi wangu ni wife akiona halafu akifikiria unavyorudi home na sura ya mbuzi ku-maintain respect and orders angekuzibua makofi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom