Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,174
- 34,405
Umeelewa sasa ila hapo kwa.gender uwe makini napo!!!!
Siwi makini hata.
Mkookie kwa?
Umeelewa sasa ila hapo kwa.gender uwe makini napo!!!!
She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
Siwi makini hata.
Mkookie kwa?
Once you know how men are wired haikupi shida.
Ila kiukweli Mungu ameumba.
Hata mimi naibiaga nikiona mwanaume mzuri but I wouldn't let him catch me because nyie mpo tofauti.
Unaweza uka ufoosariwa in a split second.
bait ndio chambo?
Kwa kweli more lessons needed.
Uzuri wa msemo huo it goes both ways... not gender sensitive.
Au sio?
Umeelewa sasa ila hapo kwa.gender uwe makini napo!!!!
Mwanafunzi keshamzidi mwalimu wake kaka
Huyu ndo Karucee bana...ngoja tumderive
Thats a little dumb don't you think.
All that for what?
Kwani mwingine mzuri atapita after 1000 Light Years?
Halafu Jina zurii umebadili umeweka makorokoro.
Rudisha Isack Shayo
Yan we umepinda kweli. Bila shaka uko mzuri sana ndio maana unajiamini
Now you are baiting him...daaamn🙄
Mwanafunzi keshamzidi mwalimu wake kaka
Karucee, can't kill her.Yaani ghafla kaanza kuweka na derivative kwenye somo kuu!!!!
Huyu ndo Karucee bana...ngoja tumderive
Atabaki subject wa equation na bait hatokula
Hahahaaahahaa...halafu kumbe Karucee ni mjeshi nimemwona.anapita apa na kikosi cha bendera
Hahahaha Karucee!! Staki mtu animention....na akifanya hivo yani kakamia!! Afu ujue kuweka identity ya kweli ni msala yani....kuna google sku izi!
I admit women diversity ambayo Mungu kwa makusudi aliamua kuiweka. Now tell us unapoibiaga kuchungulia somebody else out of man what comes next in your mind? You wish he could do whatever needful for you even once?
hivi kujiamini mpaka uwe mzuri?