She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
Itabidi mkuu ubadili staili ya kuangalia, fanya hivi;
Mkiwa mnaenda sehemu halafu mkawa mnataka kupishana na mali ambayo unahisi nyuma lazima kitakuwa na biG pachaz wewe anza kugeuka nyuma kabla hata hamjapishana (a.k.a tanguliza macho mzigo waja,)kwa hyo akifika usawa wa ikweta ya macho yako unafaidi weeeee! Wife akiuliza unamjibu mbona uligeuka kitambo tu.
She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
Inshallah Mungu atakujaalia mume mwema.
Sasa basi sio wanaume wote unaweza kwenda nao hivi. Mfano OLESAIDIMU ukimgeuza shingo aisee ndo kwanza ataenda hadi kumvua kyupi. Simuaminigi hata!!
mi nataka 0713 tuusijali mkuu,anza kwanza kuandika code number hii hapa 0766.nitamalizia baadae kidogo
Akiona na Avator yako ndo ata-conclude kabisa!Wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.
Nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
My homie is lots of fun.She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
Kama nakujua vilehahaaaaa u real made ma day...naumwa bt nimepata ahueni. mi cna mume bt napenda nimgeuze bby aangalie,namwambia geuka basiiii yan napenda sana yani...
ndio maana ake coz hyo mi natafsiri
kama dharau,bamiza makonde,kwa siku
hata mara sita atajiju,kila akigeuka analo khaaa!!
me sikuruhusu , angalia kwa kuibia, sio ndo ugeuke usahau unapokwenda kaaah