Waifu ananitegea!

Waifu ananitegea!

She is nuts.

My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.

Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.

Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
 
Last edited by a moderator:
Itabidi mkuu ubadili staili ya kuangalia, fanya hivi;
Mkiwa mnaenda sehemu halafu mkawa mnataka kupishana na mali ambayo unahisi nyuma lazima kitakuwa na biG pachaz wewe anza kugeuka nyuma kabla hata hamjapishana (a.k.a tanguliza macho mzigo waja,)kwa hyo akifika usawa wa ikweta ya macho yako unafaidi weeeee! Wife akiuliza unamjibu mbona uligeuka kitambo tu.
 
mi wangu akigeuka anashtukia bonge la bao
shavuni akome,c aangalie akiwa peke yake
hata kama mm kimbau mbau ndio aangalie mawezere
mbele yangu,nyumbaaaf!!

hahahaha

Acha uonevu, mambo mengine hayatabiriki
 
Kuna baadhi ya wanawake ni utalii wa ndani, kunyimwa kuona ni sawa na mzawa kupigwa marfuku kwenda serengeti na ngorongoro, absurd!
 
hahahahahahahaha.

Aisee nimeshakukariri.

Ngoja nikiamka kushoto.

Usilalamike, umenitafuta mwenyeweeee!!!🙂

Dah!! Mkwara wote huo kwa kutoa mtazamo wangu tu!! Anyway, am lookin forward to it...
 
She is nuts.

My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.

Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.

Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.

hahahahaha, Karucee mama nimekupigia salute. Wewe ni wa kipekee sana.
 
Last edited by a moderator:
wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.

nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?

keshajua ugonjwa wako...!
 
Unatoa ofa kabisa...

Matatizo ya ndoa changa nyingi...insecurity...(ni moja ya stages usihofu)

Akikujua vizuri mtaanza kuangalia wote kina masogange...

huwa anasema kama niko nae ndo naangalia hivyo je nikiwa pekeyangu inakuwaje?
 
That's sexual harassment...sidhani kama ni wote wana enjoy hizo honi...

aiseeeeee mimi siwezi kufanya hivyo ingawa ni utani na inaleta vicheko kati yenu
afu hao wanawake mnawapungia wanajiskiaje mwangine anaweza kudhani dili imetiki kumbeeeeeeee
 
Kumbe na ye kajazia mbona simple tu!,mwambie "Don't rush to judge a book just by looking its cover,NDIO MAANA NILIKUCHAGUA WEWE MKE WANGU KIPENZI,NAFSI YAKO INA ZAIDI YA NINACHOHITAJI".Msifie mara kwa huku ukimwimbia kale kawimbo ka "NO ONE BE LIKE YOU".Usichoke PLEASE!
 
Unatoa ofa kabisa...

Matatizo ya ndoa changa nyingi...insecurity...(ni moja ya stages usihofu)

Akikujua vizuri mtaanza kuangalia wote kina masogange...

hahaha ok mkuu ngoja nisubiri wakati huo
 
Kumbe na ye kajazia mbona simple tu!,mwambie "Don't rush to judge a book just by looking its cover,NDIO MAANA NILIKUCHAGUA WEWE MKE WANGU KIPENZI,NAFSI YAKO INA ZAIDI YA NINACHOHITAJI".Msifie mara kwa huku ukimwimbia kale kawimbo ka "NO ONE BE LIKE YOU".Usichoke PLEASE!

nimekusoma mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom