Waifu ananitegea!

Waifu ananitegea!

wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.

nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?
Ndivyo walivyo chunga shingo tu mzee
 
She is nuts.

My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.

Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.

Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.

aiseeeeee mimi siwezi kufanya hivyo ingawa ni utani na inaleta vicheko kati yenu
afu hao wanawake mnawapungia wanajiskiaje mwangine anaweza kudhani dili imetiki kumbeeeeeeee
 
hahaaaaa u real made ma day...naumwa bt nimepata ahueni. mi cna mume bt napenda nimgeuze bby aangalie,namwambia geuka basiiii yan napenda sana yani...

Inshallah Mungu atakujaalia mume mwema.

Sasa basi sio wanaume wote unaweza kwenda nao hivi. Mfano OLESAIDIMU ukimgeuza shingo aisee ndo kwanza ataenda hadi kumvua kyupi. Simuaminigi hata!!
 
Last edited by a moderator:
wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.

nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?

Mwambie mkeo "FAHARI YA MACHO HAIFILISI DUKA".
 
aiseeeeee mimi siwezi kufanya hivyo ingawa ni utani na inaleta vicheko kati yenu
afu hao wanawake mnawapungia wanajiskiaje mwangine anaweza kudhani dili imetiki kumbeeeeeeee

Pole yao. Sisi hatupo ki dili dili, tupo tunaangaza macho tuone neema.
 
Kabisa uweke makalio ya mke wako humu?

She is nuts. My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua. Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka. Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.

Wivu tayari!

mi wangu akigeuka anashtukia bonge la bao
shavuni akome,c aangalie akiwa peke yake
hata kama mm kimbau mbau ndio aangalie mawezere
mbele yangu,nyumbaaaf!!

You are so wrong.

Wanaume bwana sio kwamba ni senseless creatures like we like to think/assume.

Ukute hata mdada kama huyo hayupo akilini.

Hata wewe haijawahi kukukuta you are looking at something/ someone but your mind is not there?

Of course sio kila mara but pia ningependa kukueleza sometimes they are just comparing in a positive way. There is a reason you are sitting on the co-drivers seat, its because he wants you-as you are- with him.

Kumbuka wanasema ' a bird in hand is worth two in the bush'
 
Mwaya it hasn't been a bed of roses, no marriage is, but namshukuru Mungu kwa ile willingness ya pande zote kujitahidi kurekebisha mapungufu yaliyopo and keep growing deeper in love.

hongereni sana aisee hamuwezi kuchokana miaka 800
 
wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada aliyejazia ambae utakuta kila mtu anamwamgilia barabarani,mi nikigeuza jicho tu msala unaanza,nitahojiwa naangalia nini na ili iweje.japokuwa wyf nae kajazia japokuwa havai kihasara kutokana na maadili.

nisaidieni wanamme wenzangu,hivi na nyie nae mnakutana na hii hali au ni mimi tu waifu kazidisha wivu?

Mnunulie smartphone, akiwa insta au anachat wassap wewe unaangalia.
 
Mwaya it hasn't been a bed of roses, no marriage is, but namshukuru Mungu kwa ile willingness ya pande zote kujitahidi kurekebisha mapungufu yaliyopo and keep growing deeper in love.
Karucee hivi leo uliamkia kulia eh?
 
Last edited by a moderator:
mh Karucee mi mwenzio siwezi kuvumilia
lazima nimlandike makonde tu,hua spendi kabisa!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom