Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,384
Reaction score
3,057
Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi

Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini amweke ndani. Akawa mbishi.

Wahuni siyo watu wazuri asikudanganye mtu.
 
Baba yake si alisema kao bikra?

Imekuwaje tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom