Waholanzi Watengeneza Virusi Vya Kuua Wanadamu

Kwa vrus vyao hvyo me hawatanpata ila nahc watankamata kwenye vyandarua vyao vya msaada.
 
Wanajisumbua tu, watakufa wenyewe, hivi mmesikia kuna ngozi nyeusi imekufa kwa mafua?? Tungekuwa hatupendi jig jig hata UKIMWI ungetupitia mbali, tatizo UKIMWI "....umekaa mahali pabaya"
 
Ogopa sana binadamu waliofika maisha ya juu ya ustaarabu (civilization) kila siku hupanga mafanikio yao na mipango yote ya kuzalisha wadudu (Germs) huwa na lengo la kudidimiza upande mwingine. Wasomi wa upande huu wa kwetu pia wanatakiwa kufanya utafiti wa kuboresha afya za watu wao kwa kuweka mikakati ya kutengeneza madawa, kinga na hata kuelimisha wananchi kuhusu mambo yote yanayohusu afya zetu. Kizuri zaidi Mungu amependelea sana jamii zilizochelewa kuendelea kiasi kwamba kinga za miili ziko juu sana na zina uwezo wa kupambana na magonjwa mengi, tatizo ni hayo madawa na chanjo za kuletewa na wenzetu....tuzifanyie kazi kabla ya kuwalisha watu wetu!! Utasikia wataalamu wamehongwa...inawezekana kweli wanahongwa...kwanini dawa ya malaria inaingia usugu lakini kesho yake tu dawa mpya inaanza kutumika? nani kaifanyia utafiti?...huu ni mfano na kuna mifano mingi...Chanjo nyingi tunazo lakini uliza nani anaujua undani wake pale wizarani? kumbe utafiti mwingine wala hauhitaji mapesa mengi mno na haya tungeweza kuyafanya kama tusingetanguliza maslahi na ufisadi kama wa wanasiasa
 
Ukweli ni kwamba there is no virus no creature can kill most of population without a bodily auto solution ndo maana pamoja na kuwa na UKIMWI BADO wengine hawapati ukimwi hata ukiwawekea damu yenye virusi kwa hiyo watu wataendelea kuishi na HAWATAISHA no matter what teh teh
 
Hugo Chavez rais wa Venezuelas anajiuliza kama wamarekani wanatengeneza kansa
 
Nadhani huu ni muendelezo wa yale aliyoyasema Botha kwenye hotuba yake wakati akiwa rais wa SA juu ya mkakati walioweka ili kupunguza idadi ya weusi.Tangu nisome hotuba ile sina imani na misaada ya yoyote ya huduma za afya kutoka kwa wazungu.Huwa najiuliza sana kwanini waathirika wakubwa wa ukimwi ni waafrika?
Siyo ni waafrika, ni weusi...
 
bora hao waholanzi wameweka bayana kwamba wametengeneza mdudu hatari, kuna wale waliotengeneza wa ukimwi, wakakaa kimya na baadae kutusingizia sisi waafrika (watu weusi) eti ndo tuliouleta duniani kwa kufanya ngono na masokwe mtu. saa ingine mimi natamani siku ya hukumu iwadie.
 
China ndio tegemeo pekee lililobaki kwa waafrica. You know huu ndio maandalizi ya vita vya halimagedoni. Katika vita hivyo wanzungu watakuwa si kitu tena. Pamoja na hayo wanayoyafanya sio kweli ni kuzitishia nchi zinazokuja juu yao.
HAWATAWEZA CHOCHOTE NA NDANI YA MIAKA 50 INAYOKUJA NCHI ZA ASIA ZITAKUWA NA NGUVU KULIKO WAZUNGU NA NDIO UTAKUWA MWANZO WA AFRICA KUWA NA NGUVU.
 
Huwa najiuliza kama wanadamu tuna akili kama tunavyofikiri!
 
Nakuunga mkono regina mduma. Na hapa nanukuu maneno ya machache kutoka katika ile habari au you can google 'The secret covenant' In short they say ''We will keep their lifespan short and their minds weak while pretending to do the opposite. We will use our knowledge of science and technology in subtle ways so they will never see what is happening. We will use soft metals, aging accelerators and sedatives in food and water, also in the air. They will be blanketed by poisons everywhere they turn.

The soft metals will cause them to lose their minds. We will promise to find a cure from our many fronts, yet we will feed them more poison. The poisons will be absorbed through their skin and mouths, they will destroy their minds and reproductive systems. From all this, their children will be born dead, and we will conceal this information.

The poisons will be hidden in everything that surrounds them, in what they drink, eat, breathe and wear. We must be ingenious in dispensing the poisons for they can see far. We will teach them that the poisons are good, with fun images and musical tones. Those they look up to will help. We will enlist them to push our poisons.
"They will see our products being used in film and will grow accustomed to them and will never know their true effect. When they give birth we will inject poisons into the blood of their children and convince them its for their help. We will start early on, when their minds are young, we will target their children with what children love most, sweet things.

When their teeth decay we will fill them with metals that will kill their mind and steal their future. When their ability to learn has been affected, we will create medicine that will make them sicker
and cause other diseases for which we will create yet more medicine. We will render them docile and weak before us by our power. They will grow depressed, slow and obese, and when they come to us for help, we will give them more poisons''
 
nahisi kufa kufa vile...
 
na BADO MAANA MPAGO WAO WA NWO NI KABAMBE SANAEE MUNGU MTUME MUSSA AJE KUTUOKOA WANA WA AFRICA
 
Mi nafikiri wanashindwa kuvirusha kwa kuwa hata wao vitawamaliza kama ilivyokuwa kwa AIDS wanalaumiana kila siku shenztype!
 
Kuna article moja ya freemasons inayohusu NWO, inaeleza kuwa in future, hakutakuwa style ya kulipuana mabomu kama wafanyavyo terrorists. Lkn vita kubwa itakuwa ni terrorists kwa kutumia virus, hewa haitakuwa salama tena, watu watatembea wakiwa wamejifunga vitambaa mdomoni na puani kama doctors in surgery rooms.
Tujiandae na NWO.
 
Ukweli ni kwamba there is no virus no creature can kill most of population without a bodily auto solution ndo maana pamoja na kuwa na UKIMWI BADO wengine hawapati ukimwi hata ukiwawekea damu yenye virusi kwa hiyo watu wataendelea kuishi na HAWATAISHA no matter what teh teh
Wagalatia wanahangaika sana kutafuta nafasi ya M'Mungu !
 
Wanajisumbua tu, watakufa wenyewe, hivi mmesikia kuna ngozi nyeusi imekufa kwa mafua?? Tungekuwa hatupendi jig jig hata UKIMWI ungetupitia mbali, tatizo UKIMWI "....umekaa mahali pabaya"
No!ukimwi umekaa maala pazuri tena patamu kuliko chochote Mkuu!kuhusu hayo mafua wasahau,maana konyagi,mnazi,gongo na ulanzi ndio dawa yake!
 
Back
Top Bottom