Wahitimu vyuo Vikuu uzeni maji mtaani

Wahitimu vyuo Vikuu uzeni maji mtaani

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,775
Reaction score
3,842
Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS.
Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.

images (32).jpeg
 
Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji ktaaani ndio/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS
Hawatakuelewa watakufa na tai shingoni huku wamezing`ang`ania bahasha za kaki mikononi
 
Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndio/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS.
Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.

View attachment 2413147
Kuna jamaa hapa niliita gari la wauza maji waje kunijazia tank za maji, sasa yule jamaa ndiye anapanda juu kuconnect pipes yani sijui tumwite tingo akawa ananiambia kuwa alisoma SAUTI mass com.
Kanifurahisha kutobagua kazi kajiongeza.
 
Wasomi wana ulimwengu wao wa majumba magari ya kifahari na pesa zao.

Ngumu msomi wa kubongo umkute anafanya kazi za kiloko aache kuangalia Mov Netflix
 
Mnanunua maji dumu moja 5000?? Dah poleni Sasa wale wa kipato Cha chini ya dola moja wanamudu vipi hizo gharama
 
Maji unachota MITARONI unawauzia washua. Wanakunywa na kutumia maji wanayo yatiririsha wenyewe.
 
Mkuu unapingana na serikali?, wameambiwa waende VETA.
Wapambane hata kukaba tu wafanye....maana kwenye nafasi za kuajiriwa na kuteuliwa hakuna...wasubiri Hadi ndugu wa viongozi na watumishi waishe ....wabebane waishe ndipo watizame huko kwengine
 
Back
Top Bottom