Wahindi wanasoma na kuiba nyota ya watu

Hizi imani za kishirikina zilishapitwa na wakati kitambo sana,
Ni mambo ya za zama za mawe,enzi zile za zama za ujima,

Hizi imani za kuamini vitu vya kusadikika ndio zilisababisha watu wengi kuuawa kwenye vita vya maji maji,waliaminishwa kua ukisema "maji" eti risasi itageuka na kua maji..!! (Hili ni somo la historia shule ya msingi enzi zilee)

Tupo kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia, hakuna taifa lolote hapa duniani lililopata maendeleo yake kwa kuamini ushirikina na mambo ya kusadikika, tubadilike twende na wakati hizi ni zama zingine tena,

Juhudi zako,maarifa,nidhamu ya kazi na kujiwekea malengo yako ndio vitu vitakavyokupa maendeleo.
Hiyo sayansinnabteknolojia pia ni UCHAWI na tamaduni za wenzetu. Kama unabisha eleza nikwanini waafrika hatuwezi kutengeneza au kugundua chochote kile kinachohusiana na hiyo SAYANSI NA TEKENOLOJIA.

Tofauti ya uchawi wa wenzetu ninkwamba wao wanalenga kupata pesa ilhali site hulenga kuangamiza nafsi.
Hizi imani za kishirikina zilishapitwa na wakati kitambo sana,
Ni mambo ya za zama za mawe,enzi zile za zama za ujima,

Hizi imani za kuamini vitu vya kusadikika ndio zilisababisha watu wengi kuuawa kwenye vita vya maji maji,waliaminishwa kua ukisema "maji" eti risasi itageuka na kua maji..!! (Hili ni somo la historia shule ya msingi enzi zilee)

Tupo kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia, hakuna taifa lolote hapa duniani lililopata maendeleo yake kwa kuamini ushirikina na mambo ya kusadikika, tubadilike twende na wakati hizi ni zama zingine tena,

Juhudi zako,maarifa,nidhamu ya kazi na kujiwekea malengo yako ndio vitu vitakavyokupa maendeleo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana acheni ubishi uchawi upo....every person on earth has a spiritual identity inayo eleza destiny ya mtu itakuaje mpaka mwisho wake.

Soma Mathew 2 : 1 - 5 uta note baada ya Yesu kuzaliwa wale mamajusi (wale ni astrologers na wanajimu kuna baadhi ya bible versions wametambuliwa hvyo) walisha soma nyota na kuona kuna mfalme amezaliwa....wakamtrace na kumfatilia ili wakamsujudie na kumtolea zawadi (sio nyota za angani ni nyota za life destiny)

Sasa wachawi wengi wanaiba spiritual identity ya mtu mwenye kipawa katika either biashara, elimu, uongozi etc. na kuzitumia wao kwa manufaa yao but spiritually.

Soma kitabu cha Mwanzo : 1 pale katika uumbaji wa Mungu uta note Nuru na Giza vilikuwepo hata kabla Mungu hajaumba jua, mwezi na nyota. That means kila kiumbe hapa duniani kuna a spiritual realm/force behind it that makes it function well ( Wachache sana wanajua hili na ujinga wa wengi ndio nguvu ya wachache )

Kuna siri nyingi sana kwenye hii dunia mwana wa adamu hajui. Mi sio mchawi ila naamini Mungu yupo na hizi mambo zipo sanaa tu.

Kaa vizuri na wazee wa mila au kaya piga nao hadithi wengi sana watakuambia " Sio kila tajiri anayefanya sherehe hapa mjini uwe unaenda, unahudhuria unakunywa unakula na kusaza, wengine wana mbinu zao chafu.......... (wanafagia unyayo/mchanga wote ule wanaenda kucheza nao ) ...........na kuiba spiritual identity za watu ki mazingara na kuzitumia kwenye mambo yao "

The world is what it is and you are what you are. What a wild world that drives a man to Sin. Wisen Up Fellas.
Upo deep
 
Sio wahindi tu hata ndugu wa karibu au rafiki,.au jirani au mnapopeleka Cv.

Watu wanaweza bisha lakin hivi vitu vipo

Ulimwengu wa roho unafanya kazi kuliko tunavyo fikiria

Kama hujui kitu ni rahis kubisha vitu

In ua Presence Jesus is where I belong
Divine unasali kanisa gani??samahani lakini
 
Tena kuna nyota kubwa ambazo mtu hawez kubeba nyota ya mtu hadi atoe sadaka kubwa ya mtu
Ya kuua, zile nyota kali watu wanaua watu zaidi ya mara 3 kwa mwaka kutokana na thamani ya nyota ya muhusika

Naandika hadi naogopa, inategemea nyota yako ina thamani kiasi gani, ukubwa wa thamani ina determine aina ya sadaka awe v mbuzi au kuku au ng'ombe au mtu

Watu bisheni lakin haya mambo yapo yote haswaa,

Tena na hao wanao enda safisha nyota wehu kabisa anasafisha nyota kumbe anabeba nyota ya mtu,

Au unaenda safisha nyota, unabadirishiwa nyota unapewa ndogo yako inabaki hapo mwenye pesa ndefu akija anapewa yako

Au kuna ile mnazimaga mishumaa wenyew uhii Mungu nilinde natoa siri za watu

Mnaenda kwa waganga, mganga anakwambia sion anaweka mshumaa anakwambia zima

Na ww unazima tu bila kujua

Na wale wazazi wa birthday mnaalika watu mia ni birthday ya mwanangu zima mshumaa my baby uhii Mungu awape maarifa ya rohoni na kuona vya sirini

Shetani ana mbinu ingawa si birthday zote lakin unajuaje umetegwa wapi.

Vingine ngoja nikae kimya

Ukitaka kutoka hapo utafute mahal sahihi pa deliverence ya maombi
Sababu sio kila mtumishi yupo annointed kwa deliverence

Na sio madhabahu zote za Mungu most people ni wezi siku hzi mnaenda maombi na nyota yako inabebwa hapo hapo.

Watu wengi ni wahanga katika hili eneo na unayebisha ukute ww ni mmoja wapo sababu ufahamu wako umefungwa usielewe

Mungu awafungue katika Jina la Yesu na Damu ya Yesu Kristo wa Nazareti

Kumbuka hichi kitu

ADUI WA MTU NI WA NYUMBANI KWAKO uwe wimbo kwako

NB msije pm sipo annointed kwa kufanyia watu deliverence


In ua Presence Jesus is where I belong
We Dada nimekupenda bure Dada yangu
 
Hizi habari zipo sana na uhalisia wake ni zaidi ya asilimia 70. Ninafahamu mengi na madam kwakuwa umeligusia ninaweza kuleta full version.... wengi wa watumishi wa muda mrefu kwa wahindi hawana vivuli hata u search kwa darubini kali ya Afande Sele

darubin ya afande sele
 
Aah ni kitu fact. Mimi nlikua siaminigi kuna mtu mmoja kitaa akaniambia...sio mtu hohehahe...mtu kabisa ana maisha yake mazuri tu. Kuna pastor mmoja maarufu tu hapa Dar wa Kilutheri akaja akaniambia the very same thing pia.
Yap usipokuwa makini hawa wapumbavu wachawi watayachezea maisha yako
 
Mtu yuko radhi arushe hata party ya Tsh million 6 home kwake anaalika watu kibao mwenzenu anajua anachokipata. Watu walivyo walaku wa beer za bure nyomi kibao. Mtu mjanja haendi.
Yan watu huwa wanapatikana ktk chakula,
Kumbe wenzao ni sadaka wanatoa na wanakuunganisha humo humo

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Divine unasali kanisa gani??samahani lakini
Siwezi sema nasali wapi, kama kanisa naamini kuwa kanisa ni mimi,
Ukitaka mjua Mungu ni juhudi binafsi ukiweka juhudi na kufuata mafundisho sahihi Mungu hatokuacha na atakufunulia siri kama hizi.

Mungu sio wa mahali fulani tu, au kanisa fulani tu. Hivyo unapo peleka mguu wako ktk madhabahu hakikisha una amani na hapo au Mungu kakuruhusu uende hivi hivi baki ulipo na muombe Mungu nahitaji kukujua zaidi.

Mungu hatokuacha kamwe.

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Siwezi sema nasali wapi, kama kanisa naamini kuwa kanisa ni mimi,
Ukitaka mjua Mungu ni juhudi binafsi ukiweka juhudi na kufuata mafundisho sahihi Mungu hatokuacha na atakufunulia siri kama hizi.

Mungu sio wa mahali fulani tu, au kanisa fulani tu. Hivyo unapo peleka mguu wako ktk madhabahu hakikisha una amani na hapo au Mungu kakuruhusu uende hivi hivi baki ulipo na muombe Mungu nahitaji kukujua zaidi.

Mungu hatokuacha kamwe.

In ua Presence Jesus is where I belong
Halelujah
 
Tufanyeje haya mambo yapo, hasa wale wanaojifanya wanasali sana. Unakuta mtu anaishi maisha ambayo sio yake ya mateso sana. Anateswa na binadamu ambaye ni mtu lakini sio binadamu. Watu wapo wengi lakini binadamu wachache. Ujue hapa duniani kuna mambo yasiyoonekana wanaona wenye macho manne ya mbele na nyuma. Omba Mungu ubaki na nyota yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yasiyoonekana ndio halisi ndo msingi wa wanayo onekana!

Uzuri Mungu yupo na ametupa huo uwezo pia wa macho ya rohoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wahindi tu hata ndugu wa karibu au rafiki,.au jirani au mnapopeleka Cv.

Watu wanaweza bisha lakin hivi vitu vipo

Ulimwengu wa roho unafanya kazi kuliko tunavyo fikiria

Kama hujui kitu ni rahis kubisha vitu

In ua Presence Jesus is where I belong
Umenikumbusha, kanisani kwenye ibada ,mch. Alipofanya maombi kuna kijana alianguka,akalipuka kumbe ktk kutafuta kazi alituma cv yake ktk kampuni moja ya magazeti,wakachukua huko nyota yake kupitia cv!
Amehangaika mpk ss akaamua kuja kanisani ndo kufunguliwa,nyota ikarudishwa na kazi kashapata....coz baada ya kufunguliwa eti akaanza kupigiwa cm wanasema mbona tumekutafuta sn ,u can imagine!

Wanaobisha wengi wao wamefungwa ufahamu hawaelewi kinachoendelea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kutafuta wa kumlaumu kwa umasikini wenu. Mwisho wa siku mtazeeka muda umeisha hamna kitu zaidi ya kupitia shida tu maisha yote. Kaa mtafute njia za kutajirika acheni kuamini upuuzi ambao huna hata ushahidi.
 
Mtu yuko radhi arushe hata party ya Tsh million 6 home kwake anaalika watu kibao mwenzenu anajua anachokipata. Watu walivyo walaku wa beer za bure na kulewa bure bure, nyomi kibao. Mtu mjanja haendi. Hahaha

Watu wana mbinu hatari.
Ndugu yangu watu wengi wamefungwa ufahamu kabisa,hawaelewi kinachoendelea kabisa!

Ndo maana sie tumefundishwa kuachilia damu ya Yesu kwny chochote ht utakapokanyaga,kila mahali ,kila kitu chako



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom