Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,615
- 3,117
Nyota inabeba maisha ya mtu. Hawa watu si wazuri kwakwel mumy. Wanaharibu maisha ya mtu hiviUmenikumbusha, kanisani kwenye ibada ,mch. Alipofanya maombi kuna kijana alianguka,akalipuka kumbe ktk kutafuta kazi alituma cv yake ktk kampuni moja ya magazeti,wakachukua huko nyota yake kupitia cv!
Amehangaika mpk ss akaamua kuja kanisani ndo kufunguliwa,nyota ikarudishwa na kazi kashapata....coz baada ya kufunguliwa eti akaanza kupigiwa cm wanasema mbona tumekutafuta sn ,u can imagine!
Wanaobisha wengi wao wamefungwa ufahamu hawaelewi kinachoendelea!
Sent using Jamii Forums mobile app
In ua Presence Jesus is where I belong