Wahindi wanasoma na kuiba nyota ya watu

Hata hayo mambo ya sayansi huenda yana ushetani ndani. Hivi umeme positive and negative charges, vinasafiri kwenye nyaya na ni hatari kama ukikosea. Sawa ni sayansi iliyofanyiwa utafiti wa kina, mbona kuna mabingwa wanaologa umeme?
 
Haya mambo ni ya kweli.
Mimi mwanzoni mwa mwaka huu kuha jirani yangu alitaka nikachome miiba fensi ndani ya uwanja wake nikagoma. Nilishtuka kwa sababu nilimuambia mfanyakazi akusanye hiyo miiba kwenye shamba letu kisha niichome ila hakufanya akaniambia huyo jirani kaniambia nikachomee kwenye uwanja wake.

Weee kumbe sio mtu mzuri nadhani alitaka achukue alama za nyayo akafanye ushirikina wake.
SIkwenda na miiba aliichoma mwenyewe.
Shukrani sana mkuu nimekumbuka hili tukio na natumai itakua funzo kwa wengine.
Nawashauri sana watu wamtafute YESU kwanza ili wajijenge na kujiimarisha kiroho na kiimani kwani watu ambao hawana Imani imara ndio nyota zao huchukuliwa na wanga/wachawi.
Yesu Yesu Yesu Yesu ndi kiboko yao.
 
Vijana acheni ubishi uchawi upo....every person on earth has a spiritual identity inayo eleza destiny ya mtu itakuaje mpaka mwisho wake.

Soma Mathew 2 : 1 - 5 uta note baada ya Yesu kuzaliwa wale mamajusi (wale ni astrologers na wanajimu kuna baadhi ya bible versions wametambuliwa hvyo) walisha soma nyota na kuona kuna mfalme amezaliwa....wakamtrace na kumfatilia ili wakamsujudie na kumtolea zawadi (sio nyota za angani ni nyota za life destiny)

Sasa wachawi wengi wanaiba spiritual identity ya mtu mwenye kipawa katika either biashara, elimu, uongozi etc. na kuzitumia wao kwa manufaa yao but spiritually.

Soma kitabu cha Mwanzo : 1 pale katika uumbaji wa Mungu uta note Nuru na Giza vilikuwepo hata kabla Mungu hajaumba jua, mwezi na nyota. That means kila kiumbe hapa duniani kuna a spiritual realm/force behind it that makes it function well ( Wachache sana wanajua hili na ujinga wa wengi ndio nguvu ya wachache )

Kuna siri nyingi sana kwenye hii dunia mwana wa adamu hajui. Mi sio mchawi ila naamini Mungu yupo na hizi mambo zipo sanaa tu.

Kaa vizuri na wazee wa mila au kaya piga nao hadithi wengi sana watakuambia " Sio kila tajiri anayefanya sherehe hapa mjini uwe unaenda, unahudhuria unakunywa unakula na kusaza, wengine wana mbinu zao chafu.......... (wanafagia unyayo/mchanga wote ule wanaenda kucheza nao ) ...........na kuiba spiritual identity za watu ki mazingara na kuzitumia kwenye mambo yao "

The world is what it is and you are what you are. What a wild world that drives a man to Sin. Wisen Up Fellas.
Pongezi sana mkuu kwa kutufungua macho na ufahamu Zaidi.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom