Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

Ndugu hebu tuondoe hizi Tongotongo, ni Sekta ipi au Zipi walimojaa hawa Watu!?
 
Wakubali tuwaoe sasa eeh, sio wanjikuchi kuchi wao waende wakaoe kule Mpimbwe.
Ndio maana hakuna namna sasa
 
Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada
Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki?

Hili suala wabongo inabidi mliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwa muda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu katika sekta nimetembelea wapo wahindi( yaani almost 85% ngazi za juu ni wageni )

Kilichonifikirisha zaidi ni ile Jana nilikaa na muhindi mmoja kwenye moja ya hotel ipo mjini huku tukiwa tunaongea katikati ya maongezi alisema "'I know almost the price of each officer in the immigration department" hili neno lilinifanya niunganishe dots nyingi sana na kuniacha na maswali.

Sasa shida ni nini mpaka asilimia kubwa ngazi za juu wamejaa wahindi kuliko wazawa.

Je hakuna sheria za kulinda ajira za wazawa hasa kwenye ngazi za juu? Je wazawa ni wavivu, hawajitumi au sio waaminifu?

Mamlaka iliyopewa dhamana wanashikishwa kitu? Au hakuna maexpert wenye uweledi mzuri wa kusimamia kazi?

Naomba wanazengo tujuzane hapa..
wahindi wengi wana uraia na makampuni mengi wanayofanyia kazi ni ya familia na koo zao. sasa mnataka nini na nyerere alishawapokonya makampuni hapo kabla, muwaache
 
Wakubali tuwaoe sasa eeh, sio wanjikuchi kuchi wao waende wakaoe kule Mpimbwe.
Ndio maana hakuna namna sasa
ndoa si ni makubaliano, na kwanini utake kuwaoa wao, kwani wao ndio hawataki kuendeleza vizazi vyao. binadamu siku zote hutaka kuendeleza damu yao. nenda hata nchi mseto kama marekani ama uingereza utakuta ni wachache huoana na watu wa rangi ingine wengi hupenda kuoana na watu wa rangi moja, sio rangi tu hata dini na pengine hata kabila wengi hupenda wezao zaidi
 
kwenye, Tume, Wizara na Taasisi za kiserikali hakuna muhindi mwenye nafasi hizo za juu unazosema wewe, labda uzungumzie sekta binafsi
 
Nafikiri unamwongelea Amir H Jamal ambaye yeye hakuwa kama hawa wagonga ulimbo tunaowaongelea hapa au mtu kama Shivji huwezi kusema ni Mhindi kwa tafsiri ya mtu wa kuja toka nje ya inchi, taabu yetu ni hawa wanaokuja na upepo wa kisulisuli hata kiswahili hawajui halafu unamkuta ofisini akiwa ni cashier, karani, HR etc
Hizo business si ni zao au za Nani ?
 
Pointi yake ya msingi ni i know the price of every immigration officer hapa hazungumzii wahindi wa kuzaliwa bali wapo wengi wanaokuja kama vibarua au kwa kazi zinazofanywa na watanzania tujadili hoja
 
Siwapendi wahindi,lakini mwenzangu chuki yako imezidi sana, hiyo asilimia umetaja ni kubwa mno,wahindi wengi waliopo bongo walizaliwa hapa baas tuu hawapendi kuzagaa mitaani,ukitaka kujua kama upo dar,nenda mitaa ya samora jioni utajua,tembelea shule ya Shaban Robert ujionee,wahindi wanajua jinsi wabongo wanapenda rushwa ndo maana ulimsikia huyo akisema hivyo.Tusikatae rushwa ipo,mi kuna siku natoka nchi jirani nilienda na gari nikaacha kadi pale uhamiaji,kurudi baada ya week,nikakuta jamaa anaehudumia kakamata mzigo wa mhindi wanaelewana bei,jamaa alitoa file akaniambia tuu taja namba ya gari,akanipa kadi bila hata kuniangalia usoni,nilishangaa sana japo alinipunguzia kero ya kukaguliwa na sikuwa nimebeba mzigo kwenye gari nlitoka msibani.
 
Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada
Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki?

Hili suala wabongo inabidi mliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwa muda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu katika sekta nimetembelea wapo wahindi( yaani almost 85% ngazi za juu ni wageni )

Kilichonifikirisha zaidi ni ile Jana nilikaa na muhindi mmoja kwenye moja ya hotel ipo mjini huku tukiwa tunaongea katikati ya maongezi alisema "'I know almost the price of each officer in the immigration department" hili neno lilinifanya niunganishe dots nyingi sana na kuniacha na maswali.

Sasa shida ni nini mpaka asilimia kubwa ngazi za juu wamejaa wahindi kuliko wazawa.

Je hakuna sheria za kulinda ajira za wazawa hasa kwenye ngazi za juu? Je wazawa ni wavivu, hawajitumi au sio waaminifu?

Mamlaka iliyopewa dhamana wanashikishwa kitu? Au hakuna maexpert wenye uweledi mzuri wa kusimamia kazi?

Naomba wanazengo tujuzane hapa..
Kamishana wa uhamiaji na wahindi wenzao, mtaa wa Kisutu na indira gandhi wapo wengi tu, wanawake hawana permit, wanakaa ndani tu, wanaume ndio wanafanya kazi.
 
Wakubali tuwaoe sasa eeh, sio wanjikuchi kuchi wao waende wakaoe kule Mpimbwe.
Ndio maana hakuna namna sasa
Suala la kuoa, ndoa au mahusiano ni makubaliano! Watu wenye asili ya Uhindini wameamua kuendeleza uzao, mila, desturi na lugha.

Mbona kupitia mikoa kadhaa watu wamekataa kuchangamana na kudai ni lazima kuingia katika mahusiano na watu wanaoendana kwa kila kitu?!
 
Wewe kama unamfahamu Mhindi (au mtu wa kabila yoyote) ambaye ameingia nchini kwa kuhonga afisa wa Uhamiaji si useme tu? Kwanini usitoe taarifa kwa TAKUKURU au Ikulu au kwa Waziri wa Mambo ya Ndani? Una haki hiyo ITUMIE badala ya kutuletea hadithi za Alinacha hapa ili kuchochea hisia za kibaguzi. By the way hiyo 85% ngazi za juu ni wizara gani au kampuni gani? Mimi nimezaliwa bongo lakini sijaona hiyo
MKUU TUSIJIFANYE HATUJUI SIKU MOJA JIFANYE KUTEMBELEA IMMIGRATION NDIO UTAKUBALIANA NA SEHEMU YA MANENO YA MLETA MADA. PILI SIO WOTE WAMEZALIWA HAPA, WENGINE NI WAGENI (walioingia kihalali) NA WENGINE WAPO WAMEINGIA NA WANAISHI BILA UHALALI WA WAO KUISHI HAPA.
UKITAKA KUJUA WAPO NA WANAJULIKANA GOMBANA NA WATAWALA NDIO UTAWAONA NA WALIKUWA WAKIJUA KUWA WAPO
REF TO MANJI ALICHOFANYIWA
WAHINDI WAPO KIBAO KAMA ILIVYO KWA WASOMALI.
Sema tu nchi yetu haijali na hailindi ajira za wazawa. Na sijui kama kuna sera madhubuti ya kulinda ajira zetu.
Ndio maana sasa wapo wengi tu na wanazijua thaman za kila mmoja wa maafisa wa uhamiaji na ndio maaana pia wana uwezo wa kumyanyasa Mtz na usimfanye chochote , wana nguvu
 
Pointi yake ya msingi ni i know the price of every immigration officer hapa hazungumzii wahindi wa kuzaliwa bali wapo wengi wanaokuja kama vibarua au kwa kazi zinazofanywa na watanzania tujadili hoja
Kazi wanazofanya watanzania! Kazi zipi? Watanzania hawa wanaoamka kwa kuvalia kujilinganisha na Diamond Platnumz na Chris Brown kisha kuchukua picha kwenye barabara mpya au hawa wenye kuamkia katika vilinge vya kamari na pool table? Au wenye kuketi vibarazi na kuanza kujadili ngono na watu? Au hawa wenye mawazo ya ajabu kupitia mitandao kama mtoa mada?
 
Back
Top Bottom