Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

So hiyo race ndio iwe na uwingi kiasi cha kwamba wadominate ngazi za juu katika sekta nyingi
PRIVATE SECTOR WATU WMEWEKA HELA ZAO UNATAKA NANI AZILINDE Tunisia sisi weuse wiz ssna Tue delee na wazungu ndo kz tunayoiweza. HUJUI KUWA Tanzania is the USA of Africa Now
 
Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada
Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki?

Hili suala wabongo inabidi mliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwa muda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu katika sekta nimetembelea wapo wahindi( yaani almost 85% ngazi za juu ni wageni )

Kilichonifikirisha zaidi ni ile Jana nilikaa na muhindi mmoja kwenye moja ya hotel ipo mjini huku tukiwa tunaongea katikati ya maongezi alisema "'I know almost the price of each officer in the immigration department" hili neno lilinifanya niunganishe dots nyingi sana na kuniacha na maswali.

Sasa shida ni nini mpaka asilimia kubwa ngazi za juu wamejaa wahindi kuliko wazawa.

Je hakuna sheria za kulinda ajira za wazawa hasa kwenye ngazi za juu? Je wazawa ni wavivu, hawajitumi au sio waaminifu?

Mamlaka iliyopewa dhamana wanashikishwa kitu? Au hakuna maexpert wenye uweledi mzuri wa kusimamia kazi?

Naomba wanazengo tujuzane hapa..
Tafuta pesa ndugu,acha kufatilia maisha ya watu,
Uongozi wa juu unammanisha upi?kwenye serikali,mashirika ya umma,NGOs,au kwenye business ?
 
Reginald Mengi alikua mtetezi sana wa wazawa/wazalendo lkn cha ajabu kwny ma Co. Yake yote Top bosses ni hao hao wahindi.

So jibu ni 1 tu wahindi kwny usimamizi wa ma-biashara/hizi mambo za Accounting&finance wako njema sana na hua hawacheki na kima wakipewa kuisimamia Co/Excuses za kikuda ni marufuku na sikatai pia wahindi wabababishaji wako kwa sana tu.

Nimesoma na wahindi Primary,tukiwa Primary sisi tukirudi home ni kucheza chandimu tu wkt mtoto wa kihindi anashinda dukani kwa baba yake na saa nyingine weekends anaachiwa duka full day auze bila usimamizi wa mtu mzima na wala hana interest za kudokoa maana anakwambia baba ameniambia nikimaliza shule Mtaji wa kuanzisha duka langu utatokea hapa hapa so nikimuibia ni sawa na najiibia mwenyewe.

Secondary nilisoma darasa 1 na watoto wa kihindi kama 8 hivi,3 baada ya kumaliza form 6 wakajoin shughuli za baba zao,3 wakaenda kusoma nje na hawakurudi mazima na 2 wakaenda kusoma Muhimbili udaktari wakapiga mpk internship yao na walipomaliza hakuna hata mmoja aliyeenda kuajiriwa kwny hosp. Yoyote ile either ya Private or Govt wakarudi kusimamia biashara za familia ambazo hazihusiani kabisa na mambo ya udaktari.

So nadhani Business kwao iko ndani ya damu iwe ni kwa kupenda au ni kwa kujua kabisa kwamba kwa mazingira haya tuliyonayo biashara ndio itatutoa mambo ya kuajiriwa tuwaachie wazawa.

Ingawa sikatai pia Wako wahindi kibao wamekuja kutoka nje kufanya kazi bongo kwa njia yoyote ile iwe halali au haramu.
Jibu murua kabisa,
 
Sekta nilizotembelea mimi nyingi ni zile private
Hizo ni mitaji yao na juhudi zao, serikali haiwezi wapangia uongozi kwenye private sector ukichukulia hao wahindi ni raia wa Tanzania.
Labda tuishauri serikali kuinua vipato vya watanzania wazawa ili waweze kushindana kwenye biashara na wahindi.
 
Kuwa na umri mdogo kisha kuwa mdadisi sio jambo baya.
Ni kweli usemalo mkuu.

Tatizo huyu si mdadisi, huyu ni mfitini na ni aina ya watu wasiopaswa kunyamaziwa.

Wahindi wamehamia ndani ya nchi zaidi ya miaka 500 iliyopita Leo utasemaje ni wa kuja tu?? Kwani kuna warundi wangapi humu?? Wakenya wangapi humu?? Wasomali wangapi humu?? Wacomoro wangapi humu??

Au wahindi kosa Leo ni kutokuwa weusi kwa rangi za ngozi zao (majority)????

Wahindi wanachangia sehemu kubwa sana ya maendeleo ya nchi hii kuliko wengi wetu tunaojiona ndio waTanzania halisi.
 
Hao wahindi wametoa mchango mkubwa Sana kwenye sekta binafsi na kada ya afya acha wawepo.
Kuliko ambavyo mtoa mada na familia yake will ever do.

The agakhan hospital, the agakhan foundation, Diamond Trust bank, bank M Ltd, Metl and many others are some of major investments ambazo zina mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili.
 
Nafikiri unamwongelea Amir H Jamal ambaye yeye hakuwa kama hawa wagonga ulimbo tunaowaongelea hapa au mtu kama Shivji huwezi kusema ni Mhindi kwa tafsiri ya mtu wa kuja toka nje ya inchi, taabu yetu ni hawa wanaokuja na upepo wa kisulisuli hata kiswahili hawajui halafu unamkuta ofisini akiwa ni cashier, karani, HR etc
Sasa iwekeni mada yenu vizuri.

Stop generalizing things enyi kikazi cha nyoka
 
wahindi wengi wana uraia na makampuni mengi wanayofanyia kazi ni ya familia na koo zao. sasa mnataka nini na nyerere alishawapokonya makampuni hapo kabla, muwaache
Tena walinyang'anywa kwa kudhulumiwa.

Wakafanyiwa figisu wakaikimbia nchi yao hii walimozaliwa na Leo wameanzisha tena biashara zao from scratch bado walimwengu wanataka kuwasakama.

Kuna mzee aliwahi niambia, miongoni mwa lana tulizopata sisi Watanzania weusi ni baada ya kuwadhulumu hawa watu Mali zao baada ya uhuru
 
Siwapendi wahindi,lakini mwenzangu chuki yako imezidi sana, hiyo asilimia umetaja ni kubwa mno,wahindi wengi waliopo bongo walizaliwa hapa baas tuu hawapendi kuzagaa mitaani,ukitaka kujua kama upo dar,nenda mitaa ya samora jioni utajua,tembelea shule ya Shaban Robert ujionee,wahindi wanajua jinsi wabongo wanapenda rushwa ndo maana ulimsikia huyo akisema hivyo.Tusikatae rushwa ipo,mi kuna siku natoka nchi jirani nilienda na gari nikaacha kadi pale uhamiaji,kurudi baada ya week,nikakuta jamaa anaehudumia kakamata mzigo wa mhindi wanaelewana bei,jamaa alitoa file akaniambia tuu taja namba ya gari,akanipa kadi bila hata kuniangalia usoni,nilishangaa sana japo alinipunguzia kero ya kukaguliwa na sikuwa nimebeba mzigo kwenye gari nlitoka msibani.
Kwanini huwapendi Wahindi Mkuu?
Unaweza kushare hapa sababu zako za kutowapenda?
 
Back
Top Bottom