Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

Ukweli ndio huo kwamba kuna wahindi wengi sana mpaka kwenye ajira ndogo ndogo kama Security/Mgambo na hii binafsi nimeenda kule Lugoba ambako kokoto zinazotumika Dar na kwingineko zinazalishwa nimekuta Mgambo wa kihindi hajui hata Kiswahili mpaka awepo mkalimani ndio mnaelewana, Nenda kwenye Kampuni za ujenzi pia utakuta wageni wakifanya kazi za kawaida kabisa wakiwa na vibali vya kazi kupitia wizara ya mambo ya ndani, viwandani, migodini mchezo ni huo huo
Unataka nani afanye kazi hiyo, haya mawazo ni ya wachawi pekee
 
Huyu jamaa ana hoja sema hajapata mtu sahihi wa kutoa jibu sahihi. Sisi wabongo hatujitambui ndugu kuna kagiza kamewekwa katikati kiendelee kutupumbaza.

Asante kwa kuliona hili, kweli jamaa anahoja. Ila tatizo wabongo tunajidai wakarimu hatupendi ubaguzi and bla bla zinazotugharimu au zitatugharimu. Hao jamaa hawatutazami kwa jicho la kikarimu hata kidogo. Kwao sisi ni watu wa chini tu tena wakudharaulika. Nenda nchi yoyote halafu zungumzia utaifa uone nani atatangulizwa mbele. Huu ukarimu uliwagharimu mababu wakatawaliwa. Sasa hivi ubaya ubaya tu, kama kwao.
 
Nitaeleza kwa kifupi ninavyowajua hawa ndugu zetu.
Kwanza natanguliza mi ni mfanyabiashara so nitaelezea changamoto gan unaweza kukutana nazo pind ukifikia levo flan ambayo hawa jamaa wako kibiashara. Czungumzii levo ya akina Rostam ila hapa katikat.
Iko hiv. Hawa jamaa walibahatika kupata fursa ya kihistoria ya kufanyabiashara tangu enz ya utawala wa mzungu. Wakajijengea comunity very strong ya kuhakikisha inalinda maslah yao moja kwa moja au kupitia mawakala flan flan serikalin. Na vikao vyao vingi wanafanyia kwenye din zao wanapokutanika au jamii zao. Wakat wa nyerere aliwakuta wao ndio wamiliki karibu wa nyumba zote za mijin so kupitia sera ya serikali kipind kile Nyerere aliwanyang'anya nyumba na baadhi ya mali wakat wa hujumu uchumi. Lakin aliwaruhus wapenge hizo nyumba kwa bei ndogo za serikali. So from there hawa jamaa kwanza hawaish kama watz. Wanatafuta lakin wanawekeza outside na hiyo ni kwasababu walikosa iman na serikali za kiafrica. Mpaka kesho ukikaa na mhind atakuambia waafrika hawaaminiki. So mhind yeyote akishakuwa na hela kuanzia ml mia 7. Anatafuta kuwekeza nje ya nchi. Atawekeza nusu hapa na nje nusu. Na huko nje kuna mara mbili ni nje ya afrika.au nje ndan ya afrika. Nimebahatika kuwa karibu nao kidogo so nafaham ninachosema.
Walivyojipanga sasa..
Kila sekta muhim unayojua wewe mhind ana mtu. Na either amehonga mamlaka mpaka zikamteua mtu wake au ni yeye amembadilisha huyu mtu kuwa mtu wake. Nakutolea mfano mdogo. Hiv nikikuambia Akina kitilya au Bade wale wakurugenz wa zaman wa TRA waliwekwa na wahind takubali? Utakataa. Wajamaa wanachofanya wanawashikilia washaur wa Rais au mamlaka.za uteuz watu wanapigwa hela za maana unashangaa mzee baba anamteua mtu kumbe washamseti cku nyingi. Wana usalama unaofuatilia kila maeneo ya chakula chao. Binafs nauza biashara za boutique na ujenz. Kuna cku niko zangu uturuk nikakutana na kampun moja wanauza vifaa vya umeme. Nikajipigia hesabu yangu nikaona nikilipua hapa naweza kupata chochote kitu. Nikafunga kakontena kangu ka umeme ile nafika dar nikashughulikia tbs na TRA Nimepewa vyeti vyote safi. Kesho yake naambiwa na agent mzigo unatoka cku hiyo nikapigiwa cm ucku kama saa 8. Nikaambiwa kesho saa 4 niende ofis flan. Kufika nakutana na wahind wa tronic wakiwa na hesabu za mzigo wangu kuanzia kununua mpaka kuutoa na faida wanayo. Wakaniambia. Tunakupa hela hiyo hapo hutaki mzigo unachomwa unaambiwa bidhaa fake. By then hiz tv na compyuta zilikuwa zinakanyagwa na kuvunjwa vunjwa unaambiwa bidhaa ni fake kumbe umeingilia shughuli za watu. Sasa baadae ndio nikaja kuambia na afande mmoha mkubwa tu kuwa ungekataa oder ilishatoka bana. So ninachotaka kusema nini. Wahind ni wazur sana kwenye kaz ila wanasosayati yao iko very strong na inanusa mbali sana. Ndio maana kabla ya uchaguz wanahamisha mizigo. Wanamchungulia kama aliyeingia anasomeka wanarudisha majeshi. Kipind cha nyuma kutoka 2008 rud chini ulikuwa ukiomba kibali cha ujenz wa gorofa mzee utapata shida sana lakin sio mhind. Cc tunabaniwa coz tusije tukapata tenda tukajenga vizur ukaonekana unafaa ukawaingilia kwenye kaz zao. % 90 ya watu wa ofisin wanapenda kupiga hela kupitia kwa wahind coz kwanza wana bar zao maalum lakin pia hawatoi sir kama waswahili. Mswahili ukimpa deal akipata hela anaanza kujitangaza inshu inabuma. Kule malaysia wakat Muhadhir mohamed anachukua nchi alikuta wamalay wenye asili ya china ndio wameshikilia kila kitu. Akawaita wakubwa zao akawaambia msipowashirikisha hawa wenyeji kuwa kwenye uchumi ili angalau mfanane japo kwa mbali. Hawa watu kuna siku watawageuka ndio utakuwa mwisho wenu. Wale wachina wakawaelewa ndio ikawa pona yao.
 
Aise kanjubai Kero Sana hasa skta binafsi wameja na wanapeana wait tuu ajira wao tuu
 
Walizaliwa hapa kabla ya uhuru. Kama kuna sehemu ulishindwa kuchanga vyema karata zako kimaisha patambue ujirekebishe ila ubaguzi hauna nafasi kwenye jamii iliyostaarabika!
Hili ni jibu rahisi sana kwa swali gumu sana.Do not be so simple minded.
 
Kuweni serious acheni kudeal na mambo ya ajabuajabu...msipostuka inchi yenu itachukuliwa yoote. Wahindi ni fighters sisi tupo busy kutafuta followers twitter na show off instagram
 
Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada
Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki?

Hili suala wabongo inabidi mliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwa muda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu katika sekta nimetembelea wapo wahindi( yaani almost 85% ngazi za juu ni wageni )

Kilichonifikirisha zaidi ni ile Jana nilikaa na muhindi mmoja kwenye moja ya hotel ipo mjini huku tukiwa tunaongea katikati ya maongezi alisema "'I know almost the price of each officer in the immigration department" hili neno lilinifanya niunganishe dots nyingi sana na kuniacha na maswali.

Sasa shida ni nini mpaka asilimia kubwa ngazi za juu wamejaa wahindi kuliko wazawa.

Je hakuna sheria za kulinda ajira za wazawa hasa kwenye ngazi za juu? Je wazawa ni wavivu, hawajitumi au sio waaminifu?

Mamlaka iliyopewa dhamana wanashikishwa kitu? Au hakuna maexpert wenye uweledi mzuri wa kusimamia kazi?

Naomba wanazengo tujuzane hapa..
Kesho mapema report kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe.
Asante
 
Back
Top Bottom