Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

Wahindi wanaletwa na nani kiasi hiki?

hannibali

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
468
Reaction score
428
Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada
Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki?

Hili suala wabongo inabidi mliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwa muda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu katika sekta nimetembelea wapo wahindi( yaani almost 85% ngazi za juu ni wageni )

Kilichonifikirisha zaidi ni ile Jana nilikaa na muhindi mmoja kwenye moja ya hotel ipo mjini huku tukiwa tunaongea katikati ya maongezi alisema "'I know almost the price of each officer in the immigration department" hili neno lilinifanya niunganishe dots nyingi sana na kuniacha na maswali.

Sasa shida ni nini mpaka asilimia kubwa ngazi za juu wamejaa wahindi kuliko wazawa.

Je hakuna sheria za kulinda ajira za wazawa hasa kwenye ngazi za juu? Je wazawa ni wavivu, hawajitumi au sio waaminifu?

Mamlaka iliyopewa dhamana wanashikishwa kitu? Au hakuna maexpert wenye uweledi mzuri wa kusimamia kazi?

Naomba wanazengo tujuzane hapa..
 
Una uhakika kwamba wamezaliwa hapa?
Uwepo wao unakuzuia nini katika kujipatia mkate wako wa kila siku? Generation ya kina Prof Issa Shivji si ipo vizazi na vizazi na bado wanazaliana? Kwa taarifa tu wahindi wengi unaowaona wametapakaa maeneo mengi nchini kama si babu zao basi baba zao walizaliwa nchini kabla ya uhuru na katika kusaidia maendeleo ya nchi hususani kwenye Tehama na uuguzi/vifaa tiba basi Watanzania wenye asili ya Asia wameplay part kubwa sana.
 
hannibali Tanzania huwakilishwa na race zote ulimwenguni toka enzi na enzi. Generation unayoitizama leo ni ndogo sana baina ya awali. Watu wenye asili ya Uhindini wamekuwepo kwa muda mrefu.

Tanzania ya miaka 70's ilikuwa na watu wenye asili mbalimbali kwa wingi kabla ya wengi kuondoka, kuhama au kuhujumiwa. Mfano, katika miaka ya 70's mji wa Bukoba ulikuwa na watu wenye asili ya Uhindini takribani 2300+ ilhali hivi sasa ni takribani 1000+ utaona waTanzania wengi walivyohama taifa.

We share the common blood, needs and totally we the same! #HumanWithoutBorder #OneNation #OneWorld Upendo, Amani, Furaha, Hekima, Busara na Umoja ni Nguvu!
 
Sikubaliani na hiyo hoja kwamba baba zao na mababu zao wamezaliwa nchini
 
Wewe kama unamfahamu Mhindi (au mtu wa kabila yoyote) ambaye ameingia nchini kwa kuhonga afisa wa Uhamiaji si useme tu? Kwanini usitoe taarifa kwa TAKUKURU au Ikulu au kwa Waziri wa Mambo ya Ndani? Una haki hiyo ITUMIE badala ya kutuletea hadithi za Alinacha hapa ili kuchochea hisia za kibaguzi. By the way hiyo 85% ngazi za juu ni wizara gani au kampuni gani? Mimi nimezaliwa bongo lakini sijaona hiyo
 
hannibali Tanzania huwakilishwa na race zote ulimwenguni toka enzi na enzi. Generation unayoitizama leo ni ndogo sana baina ya awali. Watu wenye asili ya Uhindini wamekuwepo kwa muda mrefu.

Tanzania ya miaka 70's ilikuwa na watu wenye asili mbalimbali kwa wingi kabla ya wengi kuondoka, kuhama au kuhujumiwa. Mfano, katika miaka ya 70's mji wa Bukoba ulikuwa na watu wenye asili ya Uhindini takribani 2300+ ilhali hivi sasa ni takribani 1000+ utaona waTanzania wengi walivyohama taifa.

We share the common blood, needs and totally we the same! #HumanWithoutBorder #OneNation #OneWorld Upendo, Amani, Furaha, Hekima, Busara na Umoja ni Nguvu!
So hiyo race ndio iwe na uwingi kiasi cha kwamba wadominate ngazi za juu katika sekta nyingi
 
Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada
Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki?
Hili suala wabongo inabidi muliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwamuda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu katika sekta nimetembelea wapo wahindi( yaani almost 85% ngazi za juu ni wageni )
Kilichonifikirisha zaidi ni ile Jana nilikaa na muhindi mmoja kwenye moja ya hotel ipo mjini huku tukiwa tunaongea katikati ya maongezi alisema "'I know almost the price of each officer in the immigration department" hili neno lilinifanya niunganishe dots nyingi sana na kuniacha na maswali.
Sasa shida ni nini mpaka asilimia kubwa ngazi za juu wamejaa wahindi kuliko wazawa.
Je hakuna sheria za kulinda ajira za wazawa hasa kwenye ngazi za juu? Je wazawa ni wavivu, hawajitumi au sio waaminifu?
mamlaka iliyopewa dhamana wanashikishwa kitu? Au hakuna maexpert wenye uweledi mzuri wa kusimamia kazi?
Naomba wanazengo tujuzane hapa..
Ngazi za juu zipi?
Zitaje.
Kama ni wizara tujue, kama ni halmashauri zetu tujue, kama ni hospitali zetu, kama ni shule zetu au kama ni mahakama.

Ngazi za juu zipi?
 
So hiyo race ndio iwe na uwingi kiasi cha kwamba wadominate ngazi za juu katika sekta nyingi
Mkuu tatizo ni nini?! Mtanzania yeyote anaweza kufanya shughuli au chochote ilimradi asivunje sheria husika, Kuwa na asili ya Uhindini/Asia haikatazi kutofanya kazi sekta mbalimbali.

Sio tu wenye asili ya Uhindini/Asia, hata wenye asili ya bara Europa (Uingereza, Ujerumani, Urussi, Poland, Ufini, Uswissi, Uswidi na Norway) wote wanapatikana Tanzania.

Kuhusu Domination katika sekta kila race imedominate kwa kiasi chake. Ni vyema kuanza na SISI kuliko kutanguliza ASILI mbele, maana hata wewe inawezekana yako asili/chimbuko sio Tanzania je upo tayari kutengwa?
 
So hiyo race ndio iwe na uwingi kiasi cha kwamba wadominate ngazi za juu katika sekta nyingi
Sekta nyingi ni ngapi na ni zipi hizo?
Kama sekta binafsi kwenye biashara huko hakuna shida hao wengi ni raia halali wa Tanzania na ukiona siyo raia hao ni expert au kuna udanganyifu(rushwa) ambao upo hata kwenu Kenya.
Wahindi wengi raia wa Tanzania hawapendi kuajiriwa na serikali hivyo wanakuwa kwenye biashara zao na za wahindi wenzao, kwa vile wao ni raia halali sheria ya wazawa na wao inawalinda sababu wengi karibu uliowaona ni wazawa.

Mkoloni alileta wahindi wengi kusaidia kujenga reli na kuwapa ajira flani ambazo wakati wa mkoloni watu weusi walikuwa hawana ujuzi nazo.
Hao wahindi wengi walibaki hapa Tanzania na vizazi vyao ndio ulio waona.
 
Ngazi za juu zipi?
Zitaje.
Kama ni wizara tujue, kama ni halmashauri zetu tujue, kama ni hospitali zetu, kama ni shule zetu au kama ni mahakama.

Ngazi za juu zipi?
Sekta nilizotembelea mimi nyingi ni zile private
 
Reginald Mengi alikua mtetezi sana wa wazawa/wazalendo lkn cha ajabu kwny ma Co. Yake yote Top bosses ni hao hao wahindi.

So jibu ni 1 tu wahindi kwny usimamizi wa ma-biashara/hizi mambo za Accounting&finance wako njema sana na hua hawacheki na kima wakipewa kuisimamia Co/Excuses za kikuda ni marufuku na sikatai pia wahindi wabababishaji wako kwa sana tu.

Nimesoma na wahindi Primary,tukiwa Primary sisi tukirudi home ni kucheza chandimu tu wkt mtoto wa kihindi anashinda dukani kwa baba yake na saa nyingine weekends anaachiwa duka full day auze bila usimamizi wa mtu mzima na wala hana interest za kudokoa maana anakwambia baba ameniambia nikimaliza shule Mtaji wa kuanzisha duka langu utatokea hapa hapa so nikimuibia ni sawa na najiibia mwenyewe.

Secondary nilisoma darasa 1 na watoto wa kihindi kama 8 hivi,3 baada ya kumaliza form 6 wakajoin shughuli za baba zao,3 wakaenda kusoma nje na hawakurudi mazima na 2 wakaenda kusoma Muhimbili udaktari wakapiga mpk internship yao na walipomaliza hakuna hata mmoja aliyeenda kuajiriwa kwny hosp. Yoyote ile either ya Private or Govt wakarudi kusimamia biashara za familia ambazo hazihusiani kabisa na mambo ya udaktari.

So nadhani Business kwao iko ndani ya damu iwe ni kwa kupenda au ni kwa kujua kabisa kwamba kwa mazingira haya tuliyonayo biashara ndio itatutoa mambo ya kuajiriwa tuwaachie wazawa.

Ingawa sikatai pia Wako wahindi kibao wamekuja kutoka nje kufanya kazi bongo kwa njia yoyote ile iwe halali au haramu.
 
Toa Taarifa Hata Hapa Iliyonyooka Vema, Acha Ramli Chonganishi. Mamlaka Zipo Nyingi Sana Zitafanya Kazi Haraka Kuujua Ukweli
 
Habari zenu wanajamii forum natumai mko na afya njema kabisa..sasa niende kwenye mada
Hivi ni nani anawaleta wahindi kiasi hiki?

Hili suala wabongo inabidi mliangalie na mjitafakari kwa weledi wa hali ya juu. Kwa muda mchache niliokaa bongo nilichokishuhudia karibia asilimia 85% uongozi wa juu katika sekta nimetembelea wapo wahindi( yaani almost 85% ngazi za juu ni wageni )

Kilichonifikirisha zaidi ni ile Jana nilikaa na muhindi mmoja kwenye moja ya hotel ipo mjini huku tukiwa tunaongea katikati ya maongezi alisema "'I know almost the price of each officer in the immigration department" hili neno lilinifanya niunganishe dots nyingi sana na kuniacha na maswali.

Sasa shida ni nini mpaka asilimia kubwa ngazi za juu wamejaa wahindi kuliko wazawa.

Je hakuna sheria za kulinda ajira za wazawa hasa kwenye ngazi za juu? Je wazawa ni wavivu, hawajitumi au sio waaminifu?

Mamlaka iliyopewa dhamana wanashikishwa kitu? Au hakuna maexpert wenye uweledi mzuri wa kusimamia kazi?

Naomba wanazengo tujuzane hapa..
Kasome ila ukiendelea na huo umbea wako watakuja mpaka kufagia nyumbani kwako.shida sisi hatusomi
 
Back
Top Bottom