Hongera sana kwa kufurahia wahaya kufukuzwa ...sasa kwasababu uko was furaha sana Fanya sherehe na usherehekee uikoleze furaha yako
Inaonyesha hata wewe ungepewa mamlaka ungefanya kama muhaya wa hapo sokoni, kinachokuuma hapo ni nini? Kiongozi anaajiri kabila lenu tu kwa nini wasimsambaratishe, wewe unapaswa ufurahi hata kama aliyefukuzwa ni baba ako