Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Nimekimbilia kufungua thread nikifikiri ni wahaya kweli ninaowafahamu (vibanda umiza) kumbe ni wanaotoka bukoba,...aaagh nimekuwa disappointed.

Wale wanaokoa majahazi yetu, usipime.

We Unawafaham Wahaya Gani??
 
Hawa ndio ndugu zake Jay Milionea,wanajijaza mahela!/kitambo walikuwa wengi sokoni hapo ni wakata mabalo ya mtumba maarufu,kama kuna chimbo wameligundua yanapopatikana mabalo ya ukweli na bei poa wanaambiana wenyewe tu...ubaguzi upo damuni mwao..

Ni Shidaaaa!
 
Mi Cna Chuki Na Wahaya, Kwanza Marafiki Zangu Wakubwa Ni Wahaya A-level Nimesomea Kwao "Kabanga High Scl" Sema Kero Yangu Mim Kwao Ni Ubaguz Wa Kikabila. Kwa Nin Ubaguz Wa Kikabila Wakat Wote Ni Wa Tz???

Kabanga hakuna wahaya mkuu, huko ni Ngara na watu wa kule ni wahangaza, wanashabihana sana na warundi, wanyarwanda na waha kutoka kigoma.
 
Kabanga hakuna wahaya mkuu, huko ni Ngara na watu wa kule ni wahangaza, wanashabihana sana na warundi, wanyarwanda na waha kutoka kigoma.

Sasa We Unataka Ubishi Japokua Kuna Makabila Meng Lakin Mi Nina Marafik Wa Kihaya Nimesoma Nao Pale Kabanga Na Tulikua Bwen Moja. Ukubal Ukatae Ndo Hivyo Hivyo
 
hiyo ni jadi ya wahaya, kweli ukabila upo damuni kabisaaa
 
Halafu wengi wao ni wataalamu wa majungu kazini !Ukiwepo mtu wa kabila tofauti na lao utapigwa majungu hadi unaweza kuacha kazi!La unaweza kupata msukosuko kutoka kwa wakubwa hadi unakosa amani.
 
Ubaguzi wa aina yoyote haufai.
lakini MTU kuongea Lugha yake asilia sio kosa.LA sivyo ingekuwa kosa kuzaliwa katika kabila Fulani.Lugha zote zina haki sawa.

Sasa kwani sio kosa kuzaliwa mhaya?
 
Yani We Acha Tu Mkuu ilifikia Kipindi Muhaya Akiacha Kazi Au Kafukuzwa Anapigiwa Simu Muhaya Mwingine Kujaza Nafasi, Pia Kingine Kila Walipo Wahaya Wa 2 Au Wa 3 Katika Kundi Kubwa La Mchanganyiko Utasikia Tu Wanaongea Kihaya. Watu Watu Noma Hawafai Ktk Uongozi

Nyambafu, una matatizo ya fikra, wewe nani hata watu wasiongee lugha yao.
 
Yani We Acha Tu Mkuu ilifikia Kipindi Muhaya Akiacha Kazi Au Kafukuzwa Anapigiwa Simu Muhaya Mwingine Kujaza Nafasi, Pia Kingine Kila Walipo Wahaya Wa 2 Au Wa 3 Katika Kundi Kubwa La Mchanganyiko Utasikia Tu Wanaongea Kihaya. Watu Watu Noma Hawafai Ktk Uongozi

Wivu wa kike
 
Back
Top Bottom