Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Ubaguzi wa aina yoyote haufai.
lakini MTU kuongea Lugha yake asilia sio kosa.LA sivyo ingekuwa kosa kuzaliwa katika kabila Fulani.Lugha zote zina haki sawa.

Ni Kwel Mkuu Lakini Kistaarabu Kama Mpo Watu Wa Kabila Tofaut Si Vizuri Kuongea Kiluga Chenu Wengne Hawatawaelewa Na Watahc Mnawateta Ni Vema Mkaongea Luga Ya Taifa Kiswahl.
 
Wanaposema Wahaya Wamesoma kumbe wanamaanisha kukusanya ushuru masokoni, madukani na kwenye nyumba za kulala wageni.


Nakushukuru mleta mada kwa kutufungua macho.
 
Kiongozi mkuu wa uongozi wa utozaji ushuru na usafi soko la ilala alikua ni muhaya ikawa kila mtoza ushuru kila kona ya soko ni muhaya.

Soko likajaa watu wa kabila moja tu, kila ikitangazwa kazi wanapewa wahaya tu.



Mamlaka ya soko hilo imeamua kuufukuza uongozi wa utozaji ushuru na usafishaji wa soko sababu zipo nyingi lakini kubwa ni mbili;

1. Ni kukithiri kwa uchafu sokoni, wameshindwa kudhibit uchafu.
2. Ukabila, uongozi una ubaguzi wa kikabila unatoa ajira kwa kabila moja tu (wahaya).

Source: mi mwenyewe nilikuwepo wakati wa utoaji wa tamko hilo.

Huwa namwelewa sana Mwalimu Nyerere alipowakataa hawa jamaa
 
Thread imekaa kibaguzi baguzi na sina uhakika kama mletaji hakuwa na lake moyoni kuhusiana na kabila husika!
Basi kama vipi wapeni Wakwere tuondokane na hizi lawama maana kama ni uchafu dar es salaam yote inanuka na sio soko la ilala tu.


Mi Cna Chuki Na Wahaya, Kwanza Marafiki Zangu Wakubwa Ni Wahaya A-level Nimesomea Kwao "Kabanga High Scl" Sema Kero Yangu Mim Kwao Ni Ubaguz Wa Kikabila. Kwa Nin Ubaguz Wa Kikabila Wakat Wote Ni Wa Tz???
 
Acheni ukabila nyie, kama walikuwa wana vigezo vya kupata ajira kwenye hilo soko waache wafanye. Muwalaumu wakoloni
 
Hawa ndio ndugu zake Jay Milionea,wanajijaza mahela!/kitambo walikuwa wengi sokoni hapo ni wakata mabalo ya mtumba maarufu,kama kuna chimbo wameligundua yanapopatikana mabalo ya ukweli na bei poa wanaambiana wenyewe tu...ubaguzi upo damuni mwao..
 
Dawa ya kuua ukabila ni kusoma na kuelimika.
Kusoma ni jambo moja kuelimika ni jingine.
Tukielimika tutatumia elimu yetu kutatua matatizo ya kila tulipo kwa kujiajiri.
Hatutasubirikuajiriwa.
Tikisoma na kubaki na vyeti mkononi tutatafuta ajira.

Huu ni ukweli ulio uchi.:becky:

Kuna dogo aliniomba 2M nikampa akanunua Pikipiki sijui Boxer sasa akaniambia mfuniko wa Tangi la oil umetengenezwa kwa chuma hafifu chuma cha udongo.
Nikamwambia namna ya kuyeyusha Aluminium au Brass na kumimina kutengeneza mfuniko imara.
simple-aluminum-casting-melting-aluminum.jpg
 
Nimekimbilia kufungua thread nikifikiri ni wahaya kweli ninaowafahamu (vibanda umiza) kumbe ni wanaotoka bukoba,...aaagh nimekuwa disappointed.

Wale wanaokoa majahazi yetu, usipime.
 
Back
Top Bottom