Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Director-k

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
88
Reaction score
26
Kiongozi mkuu wa uongozi wa utozaji ushuru na usafi soko la ilala alikua ni muhaya ikawa kila mtoza ushuru kila kona ya soko ni muhaya.

Soko likajaa watu wa kabila moja tu, kila ikitangazwa kazi wanapewa wahaya tu.

Mamlaka ya soko hilo imeamua kuufukuza uongozi wa utozaji ushuru na usafishaji wa soko sababu zipo nyingi lakini kubwa ni mbili;

1. Ni kukithiri kwa uchafu sokoni, wameshindwa kudhibit uchafu.
2. Ukabila, uongozi una ubaguzi wa kikabila unatoa ajira kwa kabila moja tu (wahaya).

Source: mi mwenyewe nilikuwepo wakati wa utoaji wa tamko hilo.

We ni kabila gani?
 
Kuna makabila mengine Ni mtihani kwakweli,,Sa sijui inakuwaje mtu wa kabila ilo km ikitokea akawa president,Ni hatari

Yani We Acha Tu Mkuu ilifikia Kipindi Muhaya Akiacha Kazi Au Kafukuzwa Anapigiwa Simu Muhaya Mwingine Kujaza Nafasi, Pia Kingine Kila Walipo Wahaya Wa 2 Au Wa 3 Katika Kundi Kubwa La Mchanganyiko Utasikia Tu Wanaongea Kihaya. Watu Watu Noma Hawafai Ktk Uongozi
 
Ubaguzi wa aina yoyote haufai.
lakini MTU kuongea Lugha yake asilia sio kosa.LA sivyo ingekuwa kosa kuzaliwa katika kabila Fulani.Lugha zote zina haki sawa.
 
Kuna makabila mengine Ni mtihani kwakweli,,Sa sijui inakuwaje mtu wa kabila ilo km ikitokea akawa president,Ni hatari
Thread imekaa kibaguzi baguzi na sina uhakika kama mletaji hakuwa na lake moyoni kuhusiana na kabila husika!
Basi kama vipi wapeni Wakwere tuondokane na hizi lawama maana kama ni uchafu dar es salaam yote inanuka na sio soko la ilala tu.

Ungambire stupid infront of my wife haaa haaa hawa jamaa ni shidaaaaa.
 
Thread imekaa kibaguzi baguzi na sina uhakika kama mletaji hakuwa na lake moyoni kuhusiana na kabila husika!
Basi kama vipi wapeni Wakwere tuondokane na hizi lawama maana kama ni uchafu dar es salaam yote inanuka na sio soko la ilala tu.

Huyu hawataki wahaya, ana chuki iliyo rohoni! Na daima wahaya wanaambia kuwa wanajidai na kusoma-Nshomile.
 
Back
Top Bottom