Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Hahahaha, kwa kweli Tz imejaa vilazaa. Naamini wapo wenye weledi na maadili ya uandishi. Mengi na ITV wanaugomvi na Dkt Magufuli kwa sababu mtu wa kaskzini alishindwa urais, watu wa kazkazini wana chuki na serikali ya awamu ya 5 kwa sababu waliamini eti wao ndiyo wenye haki miliki ya kuiba na kutawala nchi hii, watu wa kazkazini ndiyo wanaongoza kwa kuiibia/kufanya ufisadi, na ndiyo maana sehemu kubwa unakuta wameendeleza makwao, leo hii tumepata rais anayetuunganisha then watu mnaanza kuleta unafiki. Watu wa kazkazini mpaka wachungaji/manabii ili mradi tu wake zao wanatoka kazkazini basi nao wameingia kwenye mkubo. Hakika system haitakuja kuwaacha salama watu wa kazkazini. Kama wewe ni muelewa huu ugomvi kaa mbali, acha system ifanye kazi ili kuleta usawa, hatutaki mambo ya wakikuyu hapa Tz, lazima nchi hii kila kabila liwe na haki ya kutawa, tuna hitaji kuchagua viongozi wetu kulingana na sifa, na siyo kuchagua kwa sababu eti lowasa anatoka kazkazini, na siyo eti ITV wanamuonesha lowasa sana kwenye kampeni kwa sababu ni wa kazkazini. Kaeni mjitafakari sana enyi wapumbavu!
Mkuu fungua uzi mwingine unaongelea swala la Watu wa Kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa jumuiya mbalimbali hapa Tanzania huwa ni wanafiki. Mfano mzuri ni viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Angalia jinsi wafanyakazi wanavyonyanyasika makazini, angalia jinsi wafanyakazi wanavyoumizwa juu ya mafao yao, wanaambiwa eti mpaka wasubiri miaka 55 ndipo waje kuchukua vijisenti vyao. Hii yote ni kwa sababu viongozi hao ni opportunists. Wanajali maslahi yao binafsi kiuchumi na kisiasa. Nachukia sana hizi jumuiya za hapa Tanznaia.
.
Hasa zile jumuiya zinazojiita za kidini ndio zinaongoza kwa unafiki.
Yuda alikua na afadhali ya hawa maana japo alisaliti hakustahimili kuendelea kuishi kinafiki bali aliamua kujiua. Ila hawa wataishi na hatia yao na hulazimisha kuziua dhamira zao ili zisiwasute katika unafiki wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TEF ,Mabosi na wakuu wa MAKANJANJA na jana ndio wameonesha UKANJANJA wao MKUU
 
- Haya ni maneno ya shombo sana, kwa mujibu wa maelezo ya jana RC hakuwaomba TEF kukutana naye ni TEF ndio waliomtafuta. Kama TEF hamuelewani ni matatizo yenu wenyewe hamtakiwi kumuingiza RC cause msimamo wa RC mlikuwa mnaujua toka mapema kwamba hana mpango wa kuomba radhi kwa na aliwaaambia staright in your face kuwa hana mpango wa kukutana na Ruge uso kwa uso, sasa knowing all these in advance kwa nini mliitisha kikao?

- I mean TEF mnahitaji kutafuta wanasheria wa kuwemo kwenye chama chenu ambao watawasaidia na ishus nzito kama hizi za nani kavamia na nani hakuvamia, yaani RC siku zote anaingia ndani kwenu na kutoka halafu ghafla useme kavamia? hahahahah mambo ya kitoto sana

- RC katoa rushwa na ulijua mapema kwa nini hukuandika mapema badala yake unakuja kuandika leo baada ya TEF kushindwa? Tuliwaambia nyie ni makanjanja na hiyo TEF yenu ingekuwapo kweli mgepigana kulipwa mishahara mizuri sio kusubiri "kuvamiwa", poleni sana ila mumuandike msiimuandike RC hawahitaji, Na Takukuru wanatakiwa wakukamate wewe kwanza uwasaidie info za RC kutoa rushwa

le Mutuz
Kama RC alitangaza face to face he cant face ruge c angemwambia magufuli sipatani na huyu ........mbona kama mnadhani waaatu woote wanategemea kuishi kupitia upuuzi huu mnaoutengeneza daily " a falling regime is a poor regime who live in fear and hide behind armed forces"
 
Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.

Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
Mungu wabariki wahariri .
 
Kama RC alitangaza face to face he cant face ruge c angemwambia magufuli sipatani na huyu ........mbona kama mnadhani waaatu woote wanategemea kuishi kupitia upuuzi huu mnaoutengeneza daily " a falling regime is a poor regime who live in fear and hide behind armed forces" not every one is dumb like u hope they can be....

- Aliwaambia TEF walikuwa wanajua mapema sana, mengine jisaidie nayo maana hayawezi kubadilisha anything ila ni upuuzi.

le Mutuz
 
Wahariri kama hawaridhiki wakashtaki kwa Nape anaweza kuwasidia.
 
Kama RC alitangaza face to face he cant face ruge c angemwambia magufuli sipatani na huyu ........mbona kama mnadhani waaatu woote wanategemea kuishi kupitia upuuzi huu mnaoutengeneza daily " a falling regime is a poor regime who live in fear and hide behind armed forces" not every one is dumb like u hope they can be....
Atakataaje na ilihali anataka awe font page

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Haya ni maneno ya shombo sana, kwa mujibu wa maelezo ya jana RC hakuwaomba TEF kukutana naye ni TEF ndio waliomtafuta. Kama TEF hamuelewani ni matatizo yenu wenyewe hamtakiwi kumuingiza RC cause msimamo wa RC mlikuwa mnaujua toka mapema kwamba hana mpango wa kuomba radhi kwa na aliwaaambia staright in your face kuwa hana mpango wa kukutana na Ruge uso kwa uso, sasa knowing all these in advance kwa nini mliitisha kikao?

- I mean TEF mnahitaji kutafuta wanasheria wa kuwemo kwenye chama chenu ambao watawasaidia na ishus nzito kama hizi za nani kavamia na nani hakuvamia, yaani RC siku zote anaingia ndani kwenu na kutoka halafu ghafla useme kavamia? hahahahah mambo ya kitoto sana

- RC katoa rushwa na ulijua mapema kwa nini hukuandika mapema badala yake unakuja kuandika leo baada ya TEF kushindwa? Tuliwaambia nyie ni makanjanja na hiyo TEF yenu ingekuwapo kweli mgepigana kulipwa mishahara mizuri sio kusubiri "kuvamiwa", poleni sana ila mumuandike msiimuandike RC hawahitaji, Na Takukuru wanatakiwa wakukamate wewe kwanza uwasaidie info za RC kutoa rushwa

le Mutuz
Si ndio anakuweka mjini so hutuhangaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom