Shetemba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 956
- 986
- Thread starter
- #41
Hatuombei je ikitokea wanannchi hao waliorudishwa nyumbani wakidhurika kwa ajili ya kubana matumizi, nani atabeba hizo lawamaBBC waongo. Wameruhusuwa na mkuu wa mkoa kwani kitisho Cha kimbunga kimepungua. Upepo unaelekea pwani ya msumbiji