Wahanga wa kimbunga Keneth warejea nyumbani na njaa

Wahanga wa kimbunga Keneth warejea nyumbani na njaa

Nasikia watanzania wengine wanaomba kimbunga kije ili nao wajionee live ,sio kila siku kwenye tv[emoji28][emoji28][emoji28]
 
This is bongo. Yelewwiiiiiii hawajaja na vyombo? Jk akisema za kuambiwa changanya na zako
 
Better prevent than cure
Wangeachwa yakatokea ya kutokea saa hizi pasingekalika tena hapa
Siku nyingine mkiambiwa tena mtii tu hamuwezi kujua
Ila muwe mnachukua hata matango
 
Hawapaswi kulalamika, wamshukuru Mungu sana hakijatokea na uzima upo chakula ni ziada sana kwa siku kama ya leo!

Hiii kitu wamesema sisi Wa Mtwara tuisubili kwa siku tatu....Leo kama hakijatokea Basi kesho au keshokutwa...Wa kale then turudi kwenye ifadhi yetu uwanja Wa ndege....Wasisahau kuna Na vitendea kazi.
 
Yaani hili ni tatizo...
Walitoa maelekezo ya maeneo ya kukutania lakini hapakuwa na huduma yoyote
Waliokumbwa na tetemeko hawakupewa Msaada ndo hawaa ambae wametishiwaaa tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hatukujificha ila tulienda maeneo ambayo yasingeweza kufikwa na mafuriko kama ingetokea
Nilikuona kwa mbaali umejikunyata baridi, nikawaza kwa baridi ile kama si tishio la Keneth ungekuwa mahala unaitendea haki ndoa [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Waliokumbwa na tetemeko hawakupewa Msaada ndo hawaa ambae wametishiwaaa tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15]
Walipewa msaada, sema msaada ulichikichiwa
 
Wananchi waliojitokeza kwenye mambo zilizo andaliwa rasmi ni wachache kuliko waliobaki majumbani,hawakuwa na imani na mamlaka ya haki ya hewa ntwara kuchele.
 
WaTz bwana! Yaani walikwenda huko wakitegemea walishwe? Hatuna uzoefu wa majanga kama haya, kwa waliokwishayapitia wanajua, mnapopewa tahadhari, basi mnajikusanyia vyakula na maji ya kutosha, sasa wenzangu na mimi wanajiendea mikono mitupu kama wamealikwa kwenye sherehe!
 
Binafsi nawashukuru Idara hiyo inayohusika na utabiri wa hali ya hewa, kwanza walitoa tahadhari kwa nia njema ya kuokoa maisha ya watanzania wenzetu, hakuna aliyekuwa na nia ya kuleta usumbufu usio na sababu kwa jamii, ili apate faida ipi?, Tuendelee kumuomba Mungu na tuwashukuru wote wanaoendelea kuomba ili madhara ya Keneth yasitupate, wadau kifo cha mafuriko asikwambie mtu, unavunjika vunja huku bado uko hai,,

tutambue kwamba wanategemea data wanazozisoma kwa Satelite na kuzitafasiri kadiri ya utaalamu wao, kumbe tutambue human knowledge is limited, zaidi ya yote muweza ni Mungu, kumbe wao, watu wa utabiri wa hali ya hewa wamefanya yote yaliyokuwa ndani ya uwezo wao, kitaaluma na kwa upendo, in case kimbunga hakijatokea, we have not lost anything, we have gain lives and properties, niliona mahala watu wanawabeza idara hiyo ya utabiri wa hali ya hewa, sikupendezwa.
 
WaTz bwana! Yaani walikwenda huko wakitegemea walishwe? Hatuna uzoefu wa majanga kama haya, kwa waliokwishayapitia wanajua, mnapopewa tahadhari, basi mnajikusanyia vyakula na maji ya kutosha, sasa wenzangu na mimi wanajiendea mikono mitupu kama wamealikwa kwenye sherehe!
Hats kwenye sherehe tunaendaga na pocket money unaweza ukakosa msosi make wazamiaji hawakosi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4]
 
Wakati huo tumetoa msaada msumbiji huku kwetu hatuna uwezo wakuwasaidia hata kwa siku moja tu, hahaaa inachekesha kweli kumsaidia mtu nguo wakati wewe haujavaa
Mkuu mbona unamawazo dhaifu sana?
Hivi ukitokea msiba kwenye 'nzengo' kwamfano na hauna kitu ndani mwako, je wachangishaji wa unga watakapopita kwako hautatoa kwa maelezo mepesi kwamba 'sina'?
...Kutoa ni moyo, usambe si utajiri...
Chukulia huo mfano mdogo ili kujenga UTU kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom