Wahanga wa kimbunga Keneth warejea nyumbani na njaa

Wahanga wa kimbunga Keneth warejea nyumbani na njaa

BBC waongo. Wameruhusuwa na mkuu wa mkoa kwani kitisho Cha kimbunga kimepungua. Upepo unaelekea pwani ya msumbiji
 
Hawapaswi kulalamika, wamshukuru Mungu sana hakijatokea na uzima upo chakula ni ziada sana kwa siku kama ya leo!
Serikali haijaleta kimbuka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nawe unahisi umetoa comment ya maana!!
Wakati huo tumetoa msaada msumbiji huku kwetu hatuna uwezo wakuwasaidia hata kwa siku moja tu, hahaaa inachekesha kweli kumsaidia mtu nguo wakati wewe haujavaa
Anyway, mawazo ya kila mtu yaheshimiwe.
 
Back
Top Bottom