Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,010
- 23,344
Na ukitaka roho yako isisononeke na kulaumu waandaaji, kula shiba kwanza nyumbani kwako.Hats kwenye sherehe tunaendaga na pocket money unaweza ukakosa msosi make wazamiaji hawakosi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4]
Ili unapofika kwenye sherehe uwe mtulivu usiwe na 'muhu' ya kulakula na kuonesha mapungufu yako kwenye sherehe za watu.
Maana njaa mwana haramu isee!